Tangazo kwa wasailiwa

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,038
854
Usaili wa taasisi ya udhibiti wa mbegu (tosci) ulipangwa kufanyika tarehe 20/08/2012 na 21/08/2012. Lakini kutokana na uwezekano wa tarehe hizo kuingiliana na sikukuu ya iddi, usaili huo umepangwa kufanyika tarehe 15/08/2012 na 16/08/2012.
Mchujo utafanyika tarehe 15/08/2012 na usaili utafanyika tarehe 16/08/2012

sekretarieti ya ajira inaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza.
 
Katika pekua pekua yangu leo internet nimelikuta hilo tangazo, mfahamishe unayemjua

sote ni familia moja
 
Maubig kesho si una interview wewe nhif, vipi umejua yaliowakuta wale wa interview ya leo? Au uko chako ni chako
 
wat abt usaili wa zile ajira 2500 za selikari ambazo deadline yake ilikua tar 8 mwezi wa 6 sm one c any idea plz
 
Back
Top Bottom