Tangazo kwa wafugaji wa kuku

incognintum

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
236
122
Jumapili saa tisa alasiri tarehe 13. 09. 2015 club ya wazee ilala kutakuwa na mkutano wa wafugaji kuku mkoa wa DSM siku ya jumapili kujadili juu ya upandaji wa bei ya chakula cha kuku na madawa ili kuweza kupanga bei elekezi tuweze kufuga kwa faida. Ajenda ni kufahamiana, kujiorodhesha, kupanga bei elekezi, kuweza kuchanga mchango Mdogo kwa matangazo redioni, na mengineyo. KUFIKA KWAKO NDIO MAFANIKIO KWA WAFUGAJI KWA UJUMLA WETU. Asante. Mawasiliano 0713561654
 
Mkuu hivi club ya wazee ipo sehemu gani ilala?
 
Kama unatoka kariakoo mkono wa kulia baada ya kuvuka njia Panda ya amana hospital unapita jengo moja uwanja unaofuata chini ya miarobaini ndio club ya wazee hapo au wengine wanapaita aviation.
 
Yan wafugaji ndio wanapanga bei ya madawa? na sio demand n supply tena? au mnakuja kupanga bei ya mayai n kuku mimi ndio sijaelewa
 
Back
Top Bottom