Tangazo: Kutolazimisha Penzi na Maadili ya Kitanzania

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Wana Jf Wenzangu kuna tangazo jipya huwa nalisikia radioni la kutolazimisha penzi hata kwa mke wako. Kimsingi naona kama kila siku zinvyokwenda maadili yanapungua hata kwa vyombo vya serikali kama vile wizara. Tangazo hili silikubali na halisikiliziki ndani ya familia zetu. Kila siku asubuhi inanibidi nizime radio ya gari kulikwepa kwani ninakuwa na watoto nawapeleka shule. Wahusika nawaomba hata kama hi fedha ya wafadhili basi tuone na maadili yetu yanachukua nafasi gani.
 
Hili tangazo kwa kweli hata mimi linaniweka katika wakati mgumu.mi huwa nasikiliza radio free kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa mbili ninapofika ofisini,linatangazwa kama mara nne hivi kwa muda huo.

Wahusika waangalie namna ya kulibadilisha au kuliondoa kabisa.
 
ni kweli alifai kabisa jamani yani mwanaume anaomba kula tunda hadharani yani kimsingi linabo kama upo na mtu kama mtoto au wazazi unakosa pozi kabisa radio free ni tamaa ya pesa au.
 
Wana Jf Wenzangu kuna tangazo jipya huwa nalisikia radioni la kutolazimisha penzi hata kwa mke wako. Kimsingi naona kama kila siku zinvyokwenda maadili yanapungua hata kwa vyombo vya serikali kama vile wizara. Tangazo hili silikubali na halisikiliziki ndani ya familia zetu. Kila siku asubuhi inanibidi nizime radio ya gari kulikwepa kwani ninakuwa na watoto nawapeleka shule. Wahusika nawaomba hata kama hi fedha ya wafadhili basi tuone na maadili yetu yanachukua nafasi gani.

Nami nimelisikia kwenye Rfa wakati kipindi cha matukio sasa hivi, kiukweli sijakubaliana nalo.
Maadili yameporomoka.
Tafadhari Rahabu fred ucpige tena tangazo hili.
 
Ndio hivyo wafadhili wakishaingia mpaka jikoni usitegemee kuna ambalo unaweza kuamua kufanya
Mwanaume anaomba penzi tena kwa kubembeleza na mke anamkatalia na zile sign za kwamba nimechoka niache bana yaani kiukweli linabore
Hata kama ni wafadhili ila hapo sasa tumevuka kiwango
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom