Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo kuhusu nafasi za mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada kwa mwaka wamasomo 2012/2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by prakatatumba, Mar 13, 2012.

 1. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUM: MUDA WA MAFUNZO NI MIAKA 2
  Mwombaji awe na sifa zifuatazo:
  (a) Mwalimu mwenye Stashahada ya Ualimu fani ya Sayansi au Sayansi ya Jamii na uzoefu kazini usiopungua miaka miwili ;
  (b) Ufaulu wa mtihani wa Kidato cha 6 kwa kiwango kisichopungua „Principal Pass‟ moja na „Subsidiary‟ moja za masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari;
  (c) Mwalimu anayefundisha watoto wenye mahitaji maalumu (wasioona, viziwi, wenye ulemavu wa akili nk) ni sifa ya nyongeza (vithibitisho viambatishwe).

  3. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI KIMU: MUDA WA MAFUNZO NI MIAKA 2
  Mwombaji awe na sifa zifuatazo:

  [FONT=&amp](a) [/FONT]Mwalimu mwenye Cheti cha Ualimu Daraja A;
  [FONT=&amp](b) [/FONT]Mwalimu mwenye Cheti cha ualimu Sayansi Kimu; na
  [FONT=&amp](c) [/FONT]Ufaulu wa mtihani wa Kidato cha 6 kwa kiwango kisichopungua ‘Principal Pass‟ moja na „Subsidiary‟ moja za masomo ya ‘Biology, Chemistry and Nutrition’.

  VIAMBATISHO/ MAELEZO MUHIMU
  Waombaji wa mafunzo ya Ualimu waambatishe vielelezo vifuatavyo:
  (i) Nakala za vyeti vya ufaulu Kidato cha IV na cha VI;
  (ii) Nakala za vyeti vya kuhitimu mafunzo ya ualimu ngazi ya Cheti na Stahshahada (kwa Walimu kazini);
  (iii) Barua za Walimu kazini zilizopitishwa na Waajiri;
  (iv) Sifa zilizoelekezwa kwa kila kozi ni kwa ajili ya waombaji wa mafunzo ya ualimu katika vyuo vya ualimu vya Serikali na Vyuo Visivyo vya Serikali;
  (v) Wahitimu wa Kidato cha 4 mwaka 2011 na Kidato cha 6 mwaka 2012 walioomba kupitia „Sel forms‟ wanatakiwa kutuma maombi upya kwa barua;
  (vi) Majibu kwa watakaochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu yatatolewa kwenye Tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi;
  (vii) Barua za kujiunga na mafunzo zitatolewa na chuo atakakopangwa mwombaji kwa kutumia anuani ya yake; na
  (viii) Tangazo hili lipo pia katika tovuti ya Wizara: WELCOME TO MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING OFFICIAL WEBSITE:::::::::, Ofisi za Makatibu Tawala (M) na Vyuo vya Ualimu.

  MWISHO WA KUPOKEA BARUA ZA MAOMBI NI TAREHE 30/04/2012.
  Maombi yatumwe kwa:
  KATIBU MKUU,
  WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI,
  S.L.P. 9121,
  DAR ES SALAAM (Aione: Mkurugenzi, Elimu ya Ualimu)  source: WELCOME TO MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING OFFICIAL WEBSITE:::::::::
   
 2. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Thank u!
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  poa mkubwa,ngoja tuwasubirie wazee wa kilimo kwanza tuwapeleka wadogo zetu
   
Loading...
Similar Threads - Tangazo kuhusu nafasi Forum Date
Mtazamo wangu kuhusu tangazo la ajira za walimu Jukwaa la Elimu (Education Forum) Apr 26, 2015
Naomba kueleweshwa kuhusu Tangazo la NACTE Jukwaa la Elimu (Education Forum) Sep 18, 2014
Tangazo kuhusu nafasi za mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada kwa mwaka wa masomo 2012/201 Jukwaa la Elimu (Education Forum) Mar 13, 2012

Share This Page