Tangazo by Utawala: Likizo ya 12 - 15 May. . .

asante kwa ufafanuzi Cookie, kumbe mie mwenye iphone ntawapata.

Konnie I hope uko poa.. Ila, anaposema "endapo",ana maana gani? Je,ina maana kuna ambao wataendelea kuipata JF bila zengwe,regardless ya hayo marekebisho?
 
Last edited by a moderator:
Nimepokea kwa masakitiko makubwa kuwa JF itakua Offline kwa muda wa siku tatu, nichukue nafasi hii kuwatakia mapumziko mema na kwa MODS nawatakia kila la heri katika uboreshaji wa JF msisahau kile kitufe cha GROAN kiwepo hata kwene simu. May the Good LORD bless you
 
Yaani Elli umenitia uchungu, umenikumbusha kitu ambacho sitaki kukisikia. Nimepokea kwa masikitiko habari hii ya kutokuwa na JF kwa siku nne (tatu?). Sijui ntaishije! Lakini najipa moyo nikikumbuka kwamba kinachokuja ni bora zaidi. Nawatakia "mapumziko" mema wanaJF wote na kwa Mods kazi njema ya maboresho ya JF. Mungu awe nanyi katika kazi na maisha yenu kwa ujumla.
 
Last edited by a moderator:
ka ugomvi na my wife wangu katapubgua pia ila pia itakua nafuu kwa ccm maana hatutaweza kupata updates za CC-Dodoma
 
Nimepokea kwa masakitiko makubwa kuwa JF itakua Offline kwa muda wa siku tatu, nichukue nafasi hii kuwatakia mapumziko mema na kwa MODS nawatakia kila la heri katika uboreshaji wa JF msisahau kile kitufe cha GROAN kiwepo hata kwene simu. May the Good LORD bless you

pia kitufe cha like meapa kwny cm ckipat!
 
Back
Top Bottom