Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
Cha Arusha au wapi hcho?
Cha Arusha au wapi hcho?
Hebu nijuze na mimi huo utaalam manake nina kaTablet kangu ka Ipad huenda katanikeep 2geza na JFsio kila mtu atakosa.....tunaotumia ipad 3 tutapata.....
Limesema tangazo hapo juu kuwa tutakosa kwa siku 3... JF on Facebook sio dili kabisaNyie nanyi mnachosha. . . alosema kila mtu atakosa ni nani?
We kweli umechemsha...sio kwamba hawatakuwa hewani full ila system inaweza kuwa ipo au lah....Limesema tangazo hapo juu kuwa tutakosa kwa siku 3... JF on Facebook sio dili kabisa
Limesema tangazo hapo juu kuwa tutakosa kwa siku 3... JF on Facebook sio dili kabisa
loh acha nikafungue akaunti huko fesibuku
mi nishawai kulehata me cna acc huko ngoja nkafungue make ntawamic. in advance username yangu hko itakuwa hii hii. will mic u all
TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook na JamiiForums on twitter
Hiki ndio kipindi kizuri kukutana live. Kwa wale vyapombe wenzangu mi ntakuwa Fyatanga, Fairway na Etienes bar. Kwa wale wanywa mchana wenzangu lunch mchana huwa nayapigia na kushushia ugali pale port view au Pentagon kwa Kibwetere. Ukifika bar hizo na kuona kibabu counter basi ujue ndo ODM mwenyewe. KARIBUNI TUTONGOZANE.
mi nishawai kule