Tanganyika law society wabadili jina!?

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,035
23,881
Nimesikia tangazo radio clouds fm then wakasemea tangazo hili limeletwa kwenu kwa hisani ya CHAMA CHA WANASHERIA TANZANIA BARA(TLS). Je ni kwamba CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA/TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) wamebadili jina? Nawasilisha
 
Tanganyika Law Society iko kwa mujibu wa sheria - Tanganyika Law Society Act. Jina haliwezi kubadislishwa kienyeji enyeji - hao Wafu FM watakuwa wamechakachua!
 
Back
Top Bottom