Tanganyika Eve

wizaga

Member
Nov 27, 2011
70
8
leo tumesherehekea miaka 50 ya uhuru wa tanganyika, lakini watoto tunaojaa leo wanajiuliza tanganyika ipo wapi kwani katika muungano zanziba unaipata na serikali yake je tanganyika serikali yake ipo wapi swali gumu?
Picture 004.jpg
 
sasa inahusiana vipi na picha ulobandika?
umeharibu mada nzima
tanganyika imemezwa haipo tena tukitaka kuirudisha sharti wapemba na wazanzibara warudi kwao
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom