J jitu la kale Member Dec 29, 2010 77 18 Jun 7, 2011 #1 Jaman wadau naomba kujua huu msemo na umeanzia lini na kwann upo, "TANGA WAENDA LEO WALUDI LEO"
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,050 Jun 7, 2011 #2 full msemo ni hivi: WAJA LEO WAONDOKA LEO,KISHA WANTAKA,AKHUUUU SITAKI MIE'. Jitu la kale sasa umeelewa maana yake? mambo ya Pwani hayo ati,chapati shurti kwa mchuzi sio chai.
full msemo ni hivi: WAJA LEO WAONDOKA LEO,KISHA WANTAKA,AKHUUUU SITAKI MIE'. Jitu la kale sasa umeelewa maana yake? mambo ya Pwani hayo ati,chapati shurti kwa mchuzi sio chai.