Tanga matokeo ya uchaguzi CCM-NEC mwenyekiti ni Henry Shekifu (mb Lushoto)

Hongera sana Mathew Maganga, Magamba sec school classmate ila huko kwa CCM uangalie musee

Heheheheheh kumbe huyu ni Methew Mganga niliyesoma nae Magamba Lol!!nilikuwa na huyu jamaa class moja A from form one to 4m4 Lol!!!Kaka ake ni Muya Dominick,mie nilkuwa nakaa bweni la Kaunda na Methew Kenyata hahahahaha long time mazee sema nae kumbe amekuwa Gamba Lol!!kijana kapotea sana.
 
Duh kumbe upo kaka, mimki nilikua Kenyata Mpwa, ni muda sasa, siku hizi panaitwa SEKUCO imekua university. Munde naskia ni Headmaster....memories bhana, kumbe wewe ndio ulikuwa unafukuzia Mademu wa mazinde Juu eeehh (kidding bhana)

Back
Top Bottom