Tanga eeh kunani pale!

Wakongwe katika game....Tanga bhana..
1472484581560.jpg
 
Wewe mdogo wangu mshana jr, acha utani bwana...sasa hapo wazee wanafanya nini??? je, nikisema huyo mwingine anaangalia kama mwenzake ana chawa nitakuwa nimekosea???tehtehtehtehteh
nimependa mambo mawili kwenye hii reply yako
1.chawa kichwani
2. Mimi kuwa mkubwa kuliko wewe
 
Sasa ndugu....mkuu katika harakati kama hizo utatokaje ndani..!!??
bhaaahh!!huomji utakuwa na washirikina sio siri naskia kwenda bafuni unawekwa mgongoni,hukobafuni unakuta kigoda na kisosi cha kikombe cha chai!!sasa hilo bafu au chuo cha mapishi..Tanga nipokee naja
 
bhaaahh!!huomji utakuwa na washirikina sio siri naskia kwenda bafuni unawekwa mgongoni,hukobafuni unakuta kigoda na kisosi cha kikombe cha chai!!sasa hilo bafu au chuo cha mapishi..Tanga nipokee naja

Kabla hujaenda....huko ugawe mirathi kabisa....na wasome na hitima maana kurudi ni bahati nasibu.....

Wala si uchawi mkuu....bali ni mambo fulani ya mahaba....ambayo mtu hujawahi kukutana nayo.....

Hicho kitabu chao wanachochukulia huo ujuzi...kina kurasa takribani 30,000 na kila siku anatumia mstari mmoja wa mafundisho hayo....je mzee mwenzangu kuna kurudi hapo kweli.....labda mpaka amalize kurasa zote....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom