Tanesco!!!

Codon

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
628
93
Wana Jf nikama hawa jamaa wa Tanesco wameanza mgao wakimyamya!Hii nikutokana namakatizo yaumeme yanayoendelea maeneo hasa huku kimara nimesikia kigamboni wanapiga mayowe pia sijui nanyi wana Jf wenzangu huko mliko hali ikoje?Sasa naamini shirika limenyweshwa Gongo!Linayumba....!Sijui niwale wasouth?(NET GROUP!)
 
sasa wewe shda yako ni ipi? Mara tanesco mara kuna makelele tulia andika post ieleweke sio unakurupuka kama unakula ugoro.
 
Kikulacho ki nguoni mwako Net group walishachukua chao mapema wakapotea nao tunamalizana wenyewe,
 
ukitaka kujua uhondo wa tanesco nenda mtoni kijichi.......january hadi desemba wanakata umeme hata mara kumi kwa siku....ni kata washa, kata washa kata washa....
 
Back
Top Bottom