CHIMPANZEE
Member
- Mar 30, 2011
- 98
- 10
Jamani naomba mnisaidie, kilasiku tunaambiwa hali ya umeme itakaa sawa, nisaidieni itakaa sawa kivipi?
Sasa tunaambiwa maji mtera yanaisha, ivo kweli haiwezekani kutoa maji bahari ya Hindi au kwenye maziwa ya nchi hii kupeleka mtera ili umeme urudi katika hali yake?
Shida ni kwamba nchi hii imejawa na siasa, hata vitu vya maana vinawekwa kwenye propaganda.
Uchumi wa nchi hii utaimarikaje ikiwa hakuna umeme?
Viwanda vinafungwa, maofisi yanafungwa, je ni kweli Tanesiko wasilaumiwe?
Mhuheshimiwa Ngeleja na watu wake ikiwa ni pamoja na viongozi wa juu wa nchi hii wanatupeleka wapi?