TANESCO yatangaza mgawo wa umeme

Hivi wakuu zangu niulize kitu hapa.. Huyu Dr, Rashid ana Utaalam gani (technocal)ambao leo wananchi wengi wanautumia kuunga mkono ushauri wake ktk kununua mitambo ya Dowans!.. Ni kwa sababu gani haswa! kwa sababu alikuwa gavana wa Bank Kuu? - Je.. maneno hayo angeyasema marehemu Balali (Mungu amrehemu) bado mngekuwa na maamuzi hayo hayo au kuna tofauti kati ya fisadi mmoja kuingia mwingine!.

Wakuu zangu kinachofanyika hapa ni uharamia mtupu! nasikitika sana kusema au kukubali kwamba NCHI imemshinda JK! na hakika hatuna viongozi kabisa Tanzania kwani huyu Dr. Rashid kwa yale alokwisha yafanya sii mtu wa kujadiliwa kabisa inapofikia uongozi bora hata iwe ktk Utaalam..
 
kitaani kwetu hata kabla hawajatanza kila siku jioni lazima umeme ukatike, kwa hiyo hakuna tofauti yoyote ndo zao hao
 
Hivi wakuu zangu niulize kitu hapa.. Huyu Dr, Rashid ana Utaalam gani (technocal)ambao leo wananchi wengi wanautumia kuunga mkono ushauri wake ktk kununua mitambo ya Dowans!.. Ni kwa sababu gani haswa! kwa sababu alikuwa gavana wa Bank Kuu? - Je.. maneno hayo angeyasema marehemu Balali (Mungu amrehemu) bado mngekuwa na maamuzi hayo hayo au kuna tofauti kati ya fisadi mmoja kuingia mwingine!.

Wakuu zangu kinachofanyika hapa ni uharamia mtupu! nasikitika sana kusema au kukubali kwamba NCHI imemshinda JK! na hakika hatuna viongozi kabisa Tanzania kwani huyu Dr. Rashid kwa yale alokwisha yafanya sii mtu wa kujadiliwa kabisa inapofikia uongozi bora hata iwe ktk Utaalam..
Dr . Idrissa ni Mchumi kwa utaalamu wake na pia labda anilifanya analysis ya kiuchumi hapa na kuona kuwa ni kama kuna ukweli.. Lakini sio yeye tu pekee alishauri mambo haya Ila yupo pia Mchumi Zitto Kabwe, Mchumi Professor Ibrahimu Lipumba.. Kweli sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom