Tanesco yaanza ku-bp wananchi Arusha

KINUKAMORI

Member
Sep 11, 2012
39
6
Tanesco tunaomba kupata taarifa,tatizo la kukatika umeme toka juzi masaa ya jioni kuna tatizo gani?????????
Usiku umeme unakatika karibia mara 5 na kurudi mnatuharibia vyombo, tupeni taarifa kuna tatizo gani???:baby:
 
wapigie namba 0732 979280 upate maelezo sahihi. Usijaze server ya JF
 
wapigie namba 0732 979280 upate maelezo sahihi. Usijaze server ya JF

Maelezo yapi sahihi wewe acha kuwasaidi Tanesco na upuuzi wao wa kukata rudisha umeme kila baada ya dakika kumi kama uli observe usiku wa kuamkia leo umeme ulienda rudi au on and off mara ngapi wataka kuniambia tanesco walitutangazia au tujitangazie sisi kuwa kuna tatizo give a break buddy.

Tanesco wao wanatakiwa kuwa straight na kila wakifanyacho huwa wana maamuzi yao ya kujifanyioa bila kujulisha wateja sasa wewe wawatetea au una 10%?

Hili tatizo ni continuously toka majuzi si mchan si usiku wewe wataka kutuambia nini??????? WAGABA?????????

10% inawezekana kweli kirahisi hivyo?
anyway, nimekupa namba zao ili upate ukweli.
Kwani wameunguza ZEC zako? pole sana.
jitahidi next time kununua vifaa vya Grundig from germany. Hata umeme upige shoti vipi mwanangu, vinapiga kazi tu.
 
huu umeme huu.....ni wapi huko ulikuwa unafanya hivyo.....mi mbona sijaona......
 
Naona wewe Wagaba ulikuwa zzzzzzzzzzzzz hukujua kilichoendelea usiku unaweza ukaibwa na familia yako bila kujitambua! kwa kawaida Tanesco ndo wakwanza wangetoa tangazo lkn wamekua kimya na si maramoja, mambo ya simu hayajaanza leo kutoa report za uongo kumbe kuna uhalifu either unatendeka mahali acha tupitie Kwenye server ya JF wajue kila mtu yuko aware na hilo.
 
Sio Arusha tu, hapa Moshi juzi umekatika tangu saa 1 usiku mpaka asubuhi na leo tangu asubuhi mpaka sasa hivi hakuna umeme.
 
Back
Top Bottom