Tanesco wanatugawa kimatabaka?

Greek

Member
Nov 8, 2010
68
1
Gharama wote tunalipia sawa unit tunanunua kwa bei moja, iweje maeneo mengine wapewe umeme muda mwingi kuliko sisi wakazi wa Temeke??? umeme wanakata saa 2 asubuhi na kurudisha saa 6 hadi 7 usiku kwanini lakini? au kwa kuwa wakazi wengi wa huku hasa mbagala ni watu wa hali ya chini Hatujuani na watu wakubwa na waserikalini? Inauma sanaa. I hate u bloody ccm government.
 
Ndugu yangu hilo siyo tatizo la TMK tu kwani huku Sinza tunapata shida sana na issue ya mgao wa umeme. Walahi nakwambia ikitokea issue kama ya Tunisia na Misri nitakesha huko mtaani kuilaani serikali hii jinsi wanavyolishughulikia tatizo la umeme.
 
Acha imani potofu....
Aliekwambia watu wote temeke walalahoi nani?
 
swali ni kuwa kwanini maeneo mengine ya dsm yana unafuu mkubwa wa mgao umeme wakati maeneo mengine hali ni mbaya sana. Ni kigezo gani hawa jamaa wanatumia..?
 
Ni bahati mbaya sana kwa WaTZ kwamba wanaopashwa (raisi na baraza lake la mawaziri) kutoa maamuzi ili tuondokane na ukosefu wa nishati ya umeme wa uhakika adha ya mgao WA UMEME haiwagusi kama inavyotugusa common mwananchi. Its a shame.
 
Gharama wote tunalipia sawa unit tunanunua kwa bei moja, iweje maeneo mengine wapewe umeme muda mwingi kuliko sisi wakazi wa Temeke??? umeme wanakata saa 2 asubuhi na kurudisha saa 6 hadi 7 usiku kwanini lakini? au kwa kuwa wakazi wengi wa huku hasa mbagala ni watu wa hali ya chini Hatujuani na watu wakubwa na waserikalini? Inauma sanaa. I hate u bloody ccm government.

Pole sana ndugu yetu, hiyo inanikumbusha wakati wa Jk awamu ya kwanza aliamru Waziri asimamie mgao ili kuhakikisha wote tunapata machungu sawa!

Nini kimempata mkuu wa kaya sasa, amesahau watoto kabisa!
 
Ili mgao uwe fair ungekuwa unakatwa na kwa mawaziri na wote labda kuacha ikulu na jeshi tu ili wajue utamu wake.
 
swali ni kuwa kwanini maeneo mengine ya dsm yana unafuu mkubwa wa mgao umeme wakati maeneo mengine hali ni mbaya sana. Ni kigezo gani hawa jamaa wanatumia..?

Bongo kuna walionacho na wasionacho. Walionacho watazidi kuongezewa na wasionacho watazidi kunyang'anywa. Ukisoma vizuri ilani ya ccm ndivyo inavyosema.
 
Back
Top Bottom