Tanesco wanahitaji huyu kijana

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=arD374MFk4w&feature=player_embedded"]YouTube- Moving Windmills: The William Kamkwamba story[/ame]

Nafikiri TANESCO wanahitaji huyu kijana awafundishe kazi na kuachana na Richmond. lol.
 
Kuna thread kuna mtu amebeza mtu kuwa alishindwa kumaliza shule.

This is interesting and encouraging. This show the solution to our problems are within the same environment we live.
 
Wakuu nafikiri itabidi tuanze kuweka veto kwa hawa wakuu wetu TANESCO na viongozi wetu.

They need to know that Tanzanians are ready for a change.
 
Hivi serikali yetu inamchango gani kwenye kulea na kuendeleza vipaji au kipaji kama hiki?
 
Hivi serikali yetu inamchango gani kwenye kulea na kuendeleza vipaji au kipaji kama hiki?

Sijui bado kama tuna Wizara ya Vijana na Maendeleo,

Anyway, labda baada ya uchaguzi tuaanza kufikiria vija wenye vipaji kama hawa, na kuwapa moyo pamoja na kuwapandisha ari mpya.
 
Back
Top Bottom