Nakubaliana nawe kuwa tunaweza kukataa kulipa na kuvunjilia mbali uhusiano wetu na mahakama ya usuluhishi lakini point yako namba 10 kuwa wachina wanaweza kuziba pengo la wazungu ni ndoto za mchana.
Wachina ni watu wabaya kweli ila wazuri kujipendekeza kwa watawala. Ukitaka kumkaribisha mchina jiandae kuona serikali ya kidikteta kama Mugabe. Hawana habari yoyote na haki za watu ikiwepo malipo kwa wafanyakazi wao. Wao wanachojali ni kuchuma fedha kwa migongo ya kiutawala.
Hapa Tanzania tuna miradi ya madini inayoendeshwa na wazungu kama GGM nk. Kuna watu wanalipwa hadi 10M per month na hata wafanyakazi wa chini wanalipwa ahueni kulinganisha na mashirika ya serikali, serikali yenyewe au taasisi za benki. I always imagine hali ingekuwaje kama mgodi ungekuwa wa Mhindi au Mchina.
Wachina ni wanyanyasaji wakubwa wa haki za watu. China hata Mei mosi hawasherehekei make haki za wafanyakazi kwao ni tatizo kubwa. Wakija hizi nchi zetu ndo balaa tupu. Miradi mikubwa haifai tu kuwapa wawekezaji ili mradi wana pesa bila kuangalia watakavowatendea wafanyakazi ambao kwa sehemu kubwa wanasupport sehemu jamii. Imefika wakati serikali iangalie haki za wafanyakzi kwanza na malipo yatakayokuwepo kwao kutoka kwa mwekezaji.
Nimesikia kuwa mkulu anataka hela hizo zilipwe kabla ya bunge kuanza kikao chake Februari ili Dowans isiwe issue tena.
mh inah lilah wainah lilah rajuun TANZANIA
Huu ni wizi wa mchana peupe, kwa nini wasingoje bunge likae?????????? Wanalipa kwa budget ipi, imeidhinishwa na nani????????? Wote watakao husika wapelekwe mahakamani, bila kujali wamepewa amri na nani, watatajana huko mbele ya sheria. Sheria gani inaruhusu kutumia fungu kubwa la fedha bila kupitia bungeni au baraza la mawaziri??????????? CHADEMA nawaomba wainitiate vote of no confidence kwa huyo aliye toa amri, hata kama ni mkuu wa nchi he should be imperched. Si dhani kama CCM wote ni wezi wa aina hii, bila shaka kuna watakao suport hiyo motion. Bandugu twafa tugangamale!!!!!!!!!
Ni taarifa kutoka ndani ya kikao. Na hatimaye waraka unaoeleza watakavyolipa ( makubaliano ya namna ya kulipa) umekamilika.Evidence kwanza kuthibitisha kuwa kikao hicho cha Tanesco ni cha kujadili how to pay Dowans. Huenda ni kikao cha kawaida cha ndani juu ya utendaji wao wa kila siku. Haitoshi kusema " Taarifa za uhakika kutoka ndani ya mwanakikao" na sio kutoka ndani ya Kikao??