TANESCO wabwagwa na Dowans mahakamani

TANESCO wameshida pingamizi Lao la kukata rufaaa! Maana yake wanaweza pinga hukumu ya dowans. Mbona mnamislead?
Wewe Rev ndie umeelewa vizuri, wengine wamekurupuka tu. Tanesco ndio wameshinda Ombi lao la kukata rufaa. Mijitu mingine inayofikiri kwa kutumia vitobo inamkurupukia Mwakyembe na Sitta as if wao ndio walotuingiza mkenge wa mkataba bomu ambao washiriki wakuu ni Mamvi kwa maelekezo ya baba Mwanahasha.
 
Nilikuwa nanua umeme wa tsh 35,000/= napata unit 192 but kwa sasa nanunua umeme wa tsh 35,000/= napata unit 129 huu ni wizi mtupu.. upandishaji huu ambao napoteza unit zaidi ya 60 ni wizi mkuu zaidi ya kuiba kuku wa mfugaji...

Tanesco na wanzeke ni majambazi wa watanzania
 
Kikwete utamuonea bure. Hukumu ilitolewa na Mahakama ya Kimataifan hizi zinazoongelewa sasa ni pingamizi tu za malipo.
Utamtetea Kikwete mpaka liyamba lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Kikwete ni fisadi na ndiye aliyeshikilia Richmond iingie Bongo kwa maslahi yake binafsi.
 
Wewe Rev ndie umeelewa vizuri, wengine wamekurupuka tu. Tanesco ndio wameshinda Ombi lao la kukata rufaa. Mijitu mingine inayofikiri kwa kutumia vitobo inamkurupukia Mwakyembe na Sitta as if wao ndio walotuingiza mkenge wa mkataba bomu ambao washiriki wakuu ni Mamvi kwa maelekezo ya baba Mwanahasha.

Thank you!
 
Mbona hii thread haieleweki nani mkweli Dowans a.k.a Rich Monduli au Tanesco a.k.a S. Manyanya?

Mwabishana sana

Nimecheka sana kuwa TBC NA ITV (Gondwe) ati ni Kima na Nyani??:biggrin:
 
TANESCO wameshida pingamizi Lao la kukata rufaaa! Maana yake wanaweza pinga hukumu ya dowans. Dowans iliyokuwa ikitetewa na wakili Kennedy Fungamtama alishikwa na butwaa baada ya hukumu kusomwa. Kuna uwezekano mkubwa sana Dowans wasilipwe. Huu ni ushindi kwa watanzania

Source ITV saa 2 usiku
 
Habari hii ni nzuri machoni pa watanzania wapenda haki, halafu kuna mzushi kasema eti Dowans wameshinda kwenye thread moja humu. Nashukuru Rev kwa kunyoosha.
 
ushaanza na rev unategemea nini zaidi ya mstari live
mpwa upo
 
TANESCO wameshida pingamizi Lao la kukata rufaaa! Maana yake wanaweza pinga hukumu ya dowans. Dowans iliyokuwa ikitetewa na wakili Kennedy Fungamtama alishikwa na butwaa baada ya hukumu kusomwa. Kuna uwezekano mkubwa sana Dowans wasilipwe. Huu ni ushindi kwa watanzania

Source ITV saa 2 usiku

Mchungaji
Je Wale jamaa walivyouza dowans kwa wamarekani waliuza pamoja na hii kesi?

Naona na nahisi kuna dalili ya mambo yanaweza kuisha nje ya mahakama. dowans "wapya" wakakubalina na Tanesco kuanza moja....
 
Habari hii ni nzuri machoni pa watanzania wapenda haki, halafu kuna mzushi kasema eti Dowans wameshinda kwenye thread moja humu. Nashukuru Rev kwa kunyoosha.

Mie nilishasikitika baada ya kusoma Dowans wameishinda Tanesco!!!
Asante mkuu kwa kuweka mambo sawa
 
Back
Top Bottom