TANESCO: Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Watuhakikishie je, gharama za umeme hazitapanda???????????K Kuendesha magenerator ya mafuta Haya ndiyo mambo yatakayo fukuza wawekezaji nchini kwetu, hata kama unataka kufunga kiwanda chochote kuzalisha kitu chochote kibiashara, gharama za umeme zitakutimua. Bora ukafunga kiwanda Rwanda unauhakika wa umeme wa bei nafuu, wachumi watanielewa!!!!!!!!!!

Mkuu umenena vema kuzalisha umeme kwa njia ya mafuta hicho kitu ni ndoto, Hawa jamaa wanaangalia kwenye hayo mafuta zao zitakuwa ngapi? Nilishawahi kuona proposal moja ikionyesha march 2011 umeme wa upepo (Generated through wind mill) ungeanza kutumika pale makambako, sijui wakina mwakyembe waliishia wapi na project yao ya pale singida.
Umeme wa mafuta umewashinda wazanzibari ambapo kuna genereta kama 32 ambazo zinazalisha 25mw bt hawazitumii kabisa coz ku run generator la 800kva mkuu yaitaji moyo........
 
Yote tisa mitambo yoyote inayotumia mafuta ni gharama na mzigo kwa wananchi... Gas tunayo lakini bado serikali inatafuta deals ambazo Tanesco watazidi kulimbikizwa na madeni.. jamani for the last six yrs this is what U come out with!.... Aaaah ama kweli tuna tatizo la Uongozi ktk kupanga maendeleo yetu..Wazungu wanasema hivi:- It's better earn recognition without getting it, than get regonition without earning it...
 
Hospitals ya Sewa Hadji (sasa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili) mwaka 1908

CBGsmDAWgAAr2TR.jpg
 
Back
Top Bottom