TANESCO: Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mbona kenya nao wanalalamika na mgao,halafu Aggreko ndo wanahamisha mitambo kutoka kenya!au ndo tunaletewa mabomu tu
Jiulize sasa hapo!!??
Inawezekana kwao washaiona ni expensive kui-run hivyo tunasukumiwa vimeo!!

Mbona kenya nao wanalalamika na mgao,halafu Aggreko ndo wanahamisha mitambo kutoka kenya!au ndo tunaletewa mabomu tu

hii agreco si ili binamu wa damu na kina rich from monduli?

Hivi,tangu tumeanza kukodi hii mitambo ya kuzalisha umeme gharama tulizotumia mpaka kufikia hivi leo zisingeweza kununuwa mitambo yetu wenyewe! Nahisi wahusika ni masikini wa mawazo.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuuarifu umma kuwa mitambo mipya ya kuzalisha umeme ya Megawati 100 iliyoahidiwa bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa William Ngeleja, imewasili nchini leo [12 August] na kazi ya kuifunga inaanza mara moja. Mitambo hiyo iliyokodiwa kutoka Kampuni ya Aggreko ya Mombasa (Kenya), itafungwa katika maeneo ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam ambapo kila kituo kitazalisha Megawati 50.

Umeme wa mitambo hiyo utaingia kwenye gridi ya Taifa mapema Septemba 2011. Mitambo hiyo itakayotumia mafuta itapunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la mgawo wa umeme nchini kwa kuzingatia ukweli kuwa mitambo ya Jacobsen Electro Supply kutoka Sweden itakayozalisha Megawati 100 nayo imeshaanza kufungwa Ubungo. Awali TANESCO ilikuwa ikikabiliwa na upungufu wa Megawati 260.

Hivyo kuwasili kwa mitambo ya Aggreko, kuwashwa mitambo ya IPTL inayozalisha Megawati 100, kutumika kwa Mitambo ya Symbion ya Megawati 112 na kuendelea kufungwa mitambo ya Jacobsen kunaipa TANESCO nafasi kubwa ya kumaliza tatizo la mgawo wa umeme mara baada ya kazi ya ufungaji wa mitambo hiyo itakapokamilika.

TANESCO inapenda kuwahakikishia Watanzania kwamba inafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa Mikoa yote iliyounganishwa katika gridi ya Taifa inapata umeme wa kutosha, sambamba na kupanua huduma ya usambazaji umeme kwa wateja wapya.

Imetolewa na:

Ofisi ya Mahusiano

Tanesco: Makao Makuu

Mkuu hii taarifa si ingetupa uhakika zaidi kama tungepata copy kupitia pdf hivi tunaweza kuiaminikweli?

mkuu MW kinachotakiwa ni sisi kununua hayo majenereta tuwenayo kuliko kukodi mbona rada na ndege ya raisi tumeweza hawa bwana wanaboa ni bora tusiwe na wizara ambayo haitatui matatizo ya watu wake..

chengine hawa wah. huko bungeni naona wamelala mbaya hadi wengine wameshakata network nini kinaendelea tz na huyu ngereja naona anafikiria kimasaburi zaidi..

kwani ina maana tumeshindwa kabisa yan tumeshndwa,kabisaaaaaaaa,kutumia hata mto malagarasi,Rufiji,pangani,ziwa victoria.??? Yan ndio tumeshndwa. Mungu atupe nini sisi..

Mi huwa navutiwa na hesabu na FIGA za megawati,hadi raha

Hata mimi bana yani nilikuwa najiuliza hivi tu. Hebu wajuzi wa haya mambo turahisishieni megawati 100 zinawasha balbu ngapi za wati mia. (Figganigga samahani nimetumia mia yako). Mia

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuuarifu umma kuwa mitambo mipya ya kuzalisha umeme ya Megawati 100 iliyoahidiwa bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa William Ngeleja, imewasili nchini leo [12 August] na kazi ya kuifunga inaanza mara moja. Mitambo hiyo iliyokodiwa kutoka Kampuni ya Aggreko ya Mombasa (Kenya), itafungwa katika maeneo ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam ambapo kila kituo kitazalisha Megawati 50.

Umeme wa mitambo hiyo utaingia kwenye gridi ya Taifa mapema Septemba 2011. Mitambo hiyo itakayotumia mafuta itapunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la mgawo wa umeme nchini kwa kuzingatia ukweli kuwa mitambo ya Jacobsen Electro Supply kutoka Sweden itakayozalisha Megawati 100 nayo imeshaanza kufungwa Ubungo. Awali TANESCO ilikuwa ikikabiliwa na upungufu wa Megawati 260.

Hivyo kuwasili kwa mitambo ya Aggreko, kuwashwa mitambo ya IPTL inayozalisha Megawati 100, kutumika kwa Mitambo ya Symbion ya Megawati 112 na kuendelea kufungwa mitambo ya Jacobsen kunaipa TANESCO nafasi kubwa ya kumaliza tatizo la mgawo wa umeme mara baada ya kazi ya ufungaji wa mitambo hiyo itakapokamilika.

TANESCO inapenda kuwahakikishia Watanzania kwamba inafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa Mikoa yote iliyounganishwa katika gridi ya Taifa inapata umeme wa kutosha, sambamba na kupanua huduma ya usambazaji umeme kwa wateja wapya.

Imetolewa na:

Ofisi ya Mahusiano

Tanesco: Makao Makuu

http://www.tanesco.co.tz/index.php?option=com_remository&Itemid=214&func=startdown&id=381

hawa aggreko wanarudi tena, hata viwanja vyao bado vipo. No change,

Hapa sasa tulipo napendekeza hili somo la MW liingizwe kwenye mitaala ili likafundishwe hadi shule za msingi walau itasaidia kuondoa usumbufu wa kuitisha press kila mara,liitwe somo la MW na liwe na mada za Tanesco,Aggreco,Symbion,IptL,Songas..n.k

Mbona kenya nao wanalalamika na mgao,halafu Aggreko ndo wanahamisha mitambo kutoka kenya!au ndo tunaletewa mabomu tu

Mkweli Mkuu,
Maana na huko Kenya wanamgao wa umeme mkali kama taarifa hii sijui hiyo mitambo ya Aggreko Mombasa kwanini serikali ya Kenya na shirika la stima Kenya hawakuikodi? soma hali ya mgao Kenya:

Ministry says power cuts in Kenya to end in September
By JOHN NGIRACHU jngirachu@ke.nationmedia.com
Posted Wednesday, August 17 2011 at 12:17

The ongoing power rationing is likely to be discontinued in September, the Energy Ministry has told Parliament.

Assistant minister Maalim Muhamud said the move would be made possible by the installation of additional power generators at Muhoroni and Embakasi and prudent management of water at the hydropower dams.

Mr Muhamud said 40 Megawatts (MW) of emergency power capacity would be installed at Muhoroni by September while a further 50 MW will be installed at Embakasi, bringing the total there to 110 MW.

"With installation of this capacity and prudent management of water in our hydropower dams, power rationing is expected to be discontinued by September 2011," said Mr Muhamud.

The assistant minister said the government is in negotiations with the African Development Bank for a Sh8 billion loan, which will be largely used to finance the drilling of geothermal production wells.

He said the current situation has been caused by outages affecting key generation units, among them the installation of a 60MW gas turbine whose installation in Nairobi has been delayed by more than nine months.

One of the two 30 MW turbines is to be commissioned this week while the second is to be in place by the end of this month, said Mr Muhamud in a statement to Parliament.

More info and source click here: Daily Nation:*- Politics*|Ministry says power cuts to end in September

Melody yenye kukwaruza loo tafadhali musitufanye misukule watu tuko gizani munaimba nyimbo zisizo na vina

hiyo nikataba wameingia lini na je itaisha lini au ndio tunaendelea kuishi kwa matumaini.na hiyo mitambo iratugarimu kiasi gani au ndio yale douani nn.màna nashindwa elewa hiyo mitambo mipya mekàa hapo kenya wakati nao wanashida ya umeme isije ikawa mdogowake iptl

Back
Top Bottom