Tanesco ni wezi au wameniibia mimi tuu

hapa.mimi

Member
Mar 11, 2010
11
0
Wakuu nna hasira na TANESCO

Jana nilipitia kununua LUKU maala fulani, nilinunua umeme wa 10,000/- lakini ajabu risit ilionesha kuwa nimestahili umeme wa 5,800/- tu ambazo ni kama forty something units hivi. Sikuelewa kabisa nikajaribu kupitia kale ka-riceipt chao ndo lah!! nakutana na Vat 18% EwURA 2%, 1% sijui nini wamekula kama 2,600/- hivi, then another line fixed costs kaa 2000++, line number three imejirudia tena vat blaha blah wakakata kama 500 hivi.
Ndugu zangu hivi hawa TANESCO wako wako vizuri akilini kweli na huyu JK kweli anastahili kura zetu?
 
hapo kaka iko na uchangiaji wa kampeni za kikwete so lazima watu tulipie gharama zote...atasema nn sasa?Bongo ya Wadanganyika hiyo mkuu...2010 kikwete oyeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yaani hapo umenigusa mie huwa siwaelewi kabisa tanesco kwenye luku, tena angalia vizuri ukinunua mwisho wa mwezi ndo wanakata na service charge ni kubwa mno mpaka utashangaa. We angalia vizuri kila ukinunu luku ni wezi bwana hawa hawana lolote
 
Wakuu nna hasira na TANESCO

Jana nilipitia kununua LUKU maala fulani, nilinunua umeme wa 10,000/- lakini ajabu risit ilionesha kuwa nimestahili umeme wa 5,800/- tu ambazo ni kama forty something units hivi. Sikuelewa kabisa nikajaribu kupitia kale ka-riceipt chao ndo lah!! nakutana na Vat 18% EwURA 2%, 1% sijui nini wamekula kama 2,600/- hivi, then another line fixed costs kaa 2000++, line number three imejirudia tena vat blaha blah wakakata kama 500 hivi.
Ndugu zangu hivi hawa TANESCO wako wako vizuri akilini kweli na huyu JK kweli anastahili kura zetu?

Mkuu hujaibiwa hata senti, nadhani ni kutojua vizuri makato yanavyokwenda, 18% ni VAT, 3% ni REA (Umeme vijijini) na 1% ni EWURA, pia unalipia service charges, kama mwezi uliopita hukununua umeme basi umekatwa service charges ya miezi 2. Hujaibiwa ni makato kisheria. KWA TAARIFA TANESCO WAMEPELEKA OMBI EWURA ILI KUONGEZA UMEME BY 35% tembelea website ya EWURA, download ombi la Tanesco soma na utoe maoni usisubiri wapitishe uje kulalamika JF.
 
Sijalalamika hata wakipandisha 50% haina shida . Shida yangu ni haya makato mara umeme kijijini mara ewura mara REA. Hivi tunaposema unalipia kodi maana yake ni nini? Sio ndio za kuchangia umeme kijijini, ewura, service charge, kikwete campaign etc?
 
Issue kama hizi ndiyo zinatakiwa kuwa campaign issues. Lakini sisi bongo tunakimbialia kuangalia TOT na Bongo Flava.[/QUOTE]

Mkuu umeandika kifupi sana lakini ujumbe utakaa milele!
Yaani kama watanzania wengi wangeweza kufikiri na kuwabana wagombea maswali ya maana kuhusu masuala kama haya! nadhani tungeendelea haraka sana.
Mfano! Umeme/Sustainable Energy siyo huu unakatika mara kumi kwa siku, Elimu/Walimu wajivunie kazi yao siyo sasa hata heshima ya taaluma haipo, Makazi bora, Miundo mbinu safi, Uzalishaji viwandani, Masuala ya uchumi namna gani tutatoka kwenye small scale industry kwenda kwenye Heavy Manufacturing Industry na itatuchukua muda gani. Lakini hapa tunahangaika na Processing Industries miaka nenda rudi nayo ni hovyo.

Namna ya kuanzisha business centre ambazo zitajuisha kila kitu kama Electrincs Products, Mama ntilie, nk yaani maeneo maalumu na yawe mengi siyo haya ya vibopa kama mlimani city unauliza bei juu.
 
Back
Top Bottom