Tanesco na zima washa zima umeme

Kitorondo

Member
Oct 21, 2011
61
33
HIVI HUU NI MGAWO WA UMEME AU NI NINI?mara umewaka mara umezimika,kwa nini Ngeleja na Malima wasijiuzulu?
 
tokea mheshimiwa amengaza kwenye vyombo vya habari kuwa aggreco wameingiza 100MW na vina vya maji kwenye mabawa ya kuzalisha umeme iko poa hapa mjini mwanza naona mgao ndio umeimarika maradufu. sidhani kama kuna haja tena ya kuita waandishi wa habari wanatutia hasira, wakae kimya wafanye mambo kimya we are too tired now with poor politics on actual issue. tumechokaaaaaaaa.....!
 
Back
Top Bottom