Tanesco na biashara kichaa

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Niwazi kuwa hapa tulipofikia watanzania bila kujali itikadi tuseme enough is enough.Tanesco wananunua umeme 1watt toka AGGRECO kwa Tsh 700/ halafu wanauza kwa Tsh 141/. Can you imagine? Source:Kipimajoto-ITV-20.1.2012 .MWANAFALSAFA PLATO ALIPATA KUSEMA "Binadamu kamwe hataona mwisho wa matatizo duniani mpaka hapo wenye hekima watakapo twaa madaraka ya kisiasa au pale wenye madaraka ya kisiasa watakapo kuwa wenye hekima." Mwana Jf tafakari chukua hatua. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jf.
 
Heshima Mkuu!

Hili ni jambo la kawaida kwa nchi zinazojali wananchi wake, mf. nchi zilizoendelea hutoa ruzuku kwa makampuni yanayo zalisha umeme kwa gharama kubwa halafu huwauzia wananchi kwa bei ndogo. Ndiyo maana ya RUZUKU. Ndicho wanachofanya TANESCO. Tatizo ni pale serikali ya Tanzania inaposhindwa kutoa ruzuku stahili. UPO MKUU?
 
.

You nailed it !!!
 
.

You nailed it !!!
This could sound reasonanble for emergency plans only. However it is strange that Tanesco and co don't have any plan to get out these kind of deals, they wish this could continue on and on. Where are the plans to eliminate these emergency power contracts? Mr Megawats every session of the house, repeeats same plans but none has been feasible six years now.
We have to be honest and say our people in the ministry and probably Tanesco are among the beneficiaries of the emergency power deals.

Now Siande tell us what is happening to the plan endorsed last year by the house to tackle this problem permanently?

It shocked some of us when malima confidently told te media that power was back to normaL because the dams were full of water again. However he said the problem may emerge again in february or later. People were surprised that the problem was left to nature to resolve though the house passed a budget to seek for a permanent solution. People were expecting to here from him the timeline to address the problem permanently using alternative sources of power.

This reveals that our leadship don't have a political will to get out of these sweet deals.
 
Ni kitu cha kushangaza sana na kwa mtaji huo tunakoelekea ni gizani sikumoja, kuna mdau amesema ni jambo la kawaida kwa nchi zinazowajali wananchi yuko sawa kusema hivyo ila kwa case ya Tanesco hayuko sawa hata kidogo.Sula la Ruzuku linaeleweka wazi na utaratibu wa kutoa Ruzuku kama unaujua vema utagundua tatizo hapo kwa wewe mdau uliyesema ni sawa.
 
Nitakujibu Nina tatizo la low voltage hapa nilipo so umeme unaingia phase moja tu.....when fixed I will be able to give my side of the story....
 
Back
Top Bottom