The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
Juzi nilitoa maoni tanesco wanavyokata kodi nilienda kununua umeme wa elfu 30 walikata kodi karibu elfu 6'leo nimenunua wamenikata vat ya sh 13000 nilitoa elfu 70'sijui kama tutaweza kuishi mambo yenyewe hv
kaka huu ni mwaka wa kifo hiyo bili niliyoipokea mimi mpaka niliogopa, maana nilikuwa nalipa elfu 90, ila nimepokea bili tarehe 15 january imepanda mpaka 130,000/- kwa mwezi..nilisikia hasira lkn ntafanya nn ukilalamika tanesco wanakwambia tutakukatia umeme.this is hell..nchi hii tumelala sana hatuna umoja kabisa mambo kama haya ni ya kupinga kwa nguvu zote, ukombozi hauji ukiwa umelala,,lazima kupigana ili uweze kujikomboa...sijui lini tutafika..