Tanesco mtatumaliza hivi

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Juzi nilitoa maoni tanesco wanavyokata kodi nilienda kununua umeme wa elfu 30 walikata kodi karibu elfu 6'leo nimenunua wamenikata vat ya sh 13000 nilitoa elfu 70'sijui kama tutaweza kuishi mambo yenyewe hv
 
Ingawa si haki kuingilia uhuru wa mtu mwingine lakini avator ya mtumple imepitiliza, naomba aidha aibadili au izuiwe!
 
ple sana. subiri ukombzi waja baada ya chadema kuchukua nji

Mimi nimechakachua umeme wa tanesco nikatengeneza ka richmond kangu nyumbani hivyo silipi.
Nimefanya hivyo sababu ya hasira kwani hela tunazolipa ni nyingi na hawafanyii kazi yoyote. Upuuzi kabisa huu
 
hahaha si vizur kuibia taifa lakn wamezidi hawa watu
 
kaazi kweli kweli yani,lakini safi sana hakuna mtanzania wa kuandamana kupinga hilo!
Ukiitisha maandamano unaitwa mleta fujo,wenzetu msumbiji mkate tu ulipanda bei wakaandamana!

Anyway,tuendelee kuvuta kamba kila mtu,itakapo katikia ndo tutajua cha kufanya maana ni kama wooooote ni matajiri tanzania,
so bei ikipanda tunakomoana,hivi na flani ata survive kweli?

Haya,ngoja tuone nani ataanza ku-give up
 
Juzi nilitoa maoni tanesco wanavyokata kodi nilienda kununua umeme wa elfu 30 walikata kodi karibu elfu 6'leo nimenunua wamenikata vat ya sh 13000 nilitoa elfu 70'sijui kama tutaweza kuishi mambo yenyewe hv

Ungekuwa umesimama mbele ya WATANZANIA wooote leo sasa na umeona hali kama hiyo,unge tushauri tufanye nini?
 
kaazi kweli kweli yani,lakini safi sana hakuna mtanzania wa kuandamana kupinga hilo!
Ukiitisha maandamano unaitwa mleta fujo,wenzetu msumbiji mkate tu ulipanda bei wakaandamana!

Anyway,tuendelee kuvuta kamba kila mtu,itakapo katikia ndo tutajua cha kufanya maana ni kama wooooote ni matajiri tanzania,
so bei ikipanda tunakomoana,hivi na flani ata survive kweli?

Haya,ngoja tuone nani ataanza ku-give up

watz weng wanaiba umeme sijui na mimi nianze maana jk kakubali bei kupanda
 
Ukitoa 30,000
VAT(18%) (5,400)
EWURA(4%) (1,200)
MANISAPAA(2.5%) (750) (7,350)
ALBAKI 22,650
UNAPATA UNITS(@159/=) 142
 
ningeshauri maandamano sababu nikicheki ongezeko naona sio 18% bali ni kama 30% hv

Sasa inaonekana huwezi kushawishi watu waandamane,viongozi wa kisiasa wakisema tuandamane wanaitwa watu wa vurugu sasa tufanyeje?
 
Mimi nilinunua umeme wa 40,000 nilichajiwa ifuatavyo:

Cost: Tshs 32,786.89
VAT18%, EWURA1%, REA3%: Tshs 7,213.11
TOTAL PAID: Tshs 40,000

TOTAL UNITS:
208.8 kWh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom