Tanesco mnakeraaa..!

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Wanajf habari zenu? Leo nimerudi toka kwenye mishughuliko tangu saa11jioni, ninashangazwa hasa na kinachofanywa na shirika la umeme, linakata umeme na kurudisha ghafla hii ni mara ya sita! Nipo maeneo ya mbez, jamani Tanesco mnamsikiliza nani? Mnakera bhana
 
Dodoma huku wameshachukuwa chao bora Tanesco wajichimbie kaburi lao wenyewe wasisubiri nguvu ya umma..
 
Huwa sielewi kitengo cha mawasiliano kinafanya nini? Kwa nini hawatoe taarifa (hata kama ni mbaya) tujue nini kinaendelea? Siku hizi kuna twitter, facebook, jamiiforums, michuzi blogs n.k Lakini wanashindwa kutoa habari? Umeme unakatika kila baada ya dakika 20 sijui ni kitu gani hasa wanafanya hawa!
 
Sie huku tulipo ndo hatari kabsaaa yan tangu jana asbh mpk sasa ni saa 48 lakn tumepata umeme haizidi robo saa..
Sijasubmit research chapter one sababu ya umeme..supervisor itabidi aelewe tu!
 
hapa igunga ulikatwa saa 11 jioni ukarudi saa moja na nusu then wameukata tena kama nusu saa limepita. Daa
 
Hapa Dodoma ni mchezo kama huo pia, kila baada ya dakika kadhaa wanakata na kurudisha ghafula.
 
si yule jamaa wa Richmond katema mkwara leo kule MONDULI, so jamaa wa tanesco wanatukumbusha alichotufanyia tusijesahau na kumuona ni muungwana hahahahaha
 
Kweli hapa Dodoma ucku huu ni KERO yani saa nne hii kasoro umeme umekatika na kurudi zaidi ya mara sita
 
sasa mm ninavyoandika wamekata mara 13 nahesabu! Niko Kahama, aisee yaani wananitia bumbuwazi. Ni kama katoto fulani hivi kanachezea main switch huko power house. Sitaki kuamini kama ni watu wazima wanatufanyia haya. Bora wakate jumla kuliko kukatakata hivi!
 
duh! Kumbe hawa tanesco wanafanya ujinga sehemu zote mi nilidhani ni huku Mwanza kumbe wanatwanga kotekote.... waache ujinga aisee..
 
Hapa Tabora nako ni operesheni kata mpaka tunapata wazimu...ndo umerudi saa hivi
 
si yule jamaa wa Richmond katema mkwara leo kule MONDULI, so jamaa wa tanesco wanatukumbusha alichotufanyia tusijesahau na kumuona ni muungwana hahahahaha
naogopa ban na wanajf ningem2kana huyu mp*:-*zi wa kimeru anadai dowans n' magamba baadae, leo ni mikwara tu na kujikomba kwa kiranja wa kaya...!
 
Back
Top Bottom