Tanesco magamba matupu

bandubandu

Senior Member
Dec 19, 2010
102
28
hawa watu wanashangaza sana yaani toka jioni niliprudi nyumbani wamekata na kurudisha umeme si chini ya mara nne.
 
Bora kwenu wanakata na kuurudisha walau mnauwezo wa kucharge sim...wakazi wategeta hatuna umeme tangu jumatatu jion...wakaurudisha saa sita usiku wa jumanne na kuukata saa nane usiku huo huo....mpaka sasa inaingia jumatano bado hatuoni dalili ya kuwapo kwa umeme
 
Back
Top Bottom