TANESCO kuwapanga foleni watu wazima hivi kama wanasubiri uji wa chekechea ni sawa kweli?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
JAMANI KAMA WANASUBIRI UJI WA MTOTO NAMWONA NDUGUYANGU ABDULAHIM MASKINI KWELI TANESCO HAMNA ADABU JAMANI EMBU JIANGALIEN WAPI TATIZO MKISHINDWA EMBU ACHIEN OFISI WANAUME WAAFANYE KAZI

IMG_2235.jpg
 
piga simu kwa mwanamke anajiita babra akupe kiswanglish chake you know because of yaani ni shida sanaa ila mafundi soon wanarekebisha so msiwe na haraka slow but sure aisee kuna wasanii serikalini mpaka waanawake nilijua wakina naniii tu
 
Mi mwenyewe najiuliza ga ningejua mzazi wa rostam ningemuuliza hili maana unaweza teseka kukaa kwenye luku kumbe ukutakiwa kukaa kwenye folen kama rostam
 
Tumelalamika kuhusu mgao tukazoea wakatuletea mgao wa mafuta nao tumezoea na sasa ni mgao wa unit za umeme je tz yetu inakoelekea ndipo tunakotarajia?vijana ni wakati wenu sasa play ur part kulikomboa taifa letu
 
Ujinga wa koboko kwa nini waliamua kutufungia hizo mita zao za kipumbavu?yaani unaenda asubuhi kununua umeme unarudi jioni,halafu na sisi tunakubaliana nao tu kwa upuuzi wanaotufanyia,kwani zile mita za awali zilikuwa na matatizo gani?WANACHOFANYA KOBOKO NI DILI ZA WANA CCM AKINA ROST HAMU KWANI NANI HAJUI?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom