JK ameonekana ubungo songas plant, mafundi wa songas jasho tupu wanavyokimbizana umeme utarusi muda si mrefu ujao stay tuned
Mkuu hizi ndiyo mbio zetu tangu uhuru hadi hapa tulipo MIAKA 50 ya UHURU!Kwa kweli Leo kama ni ngumi TANESCO wametupiga kwenye mboni. It was simply more than an embarrassment to the whole nation!
Chukuwa chako mapema hii nnchi achaa tuu bajeti za mafuta unakuta zimetolewa namafuta hayajanunuliwa Mngu kaamuwa kuufunuwa uozo wa viongozi wa tz machoni pa dunia nakuizihilishia dunia ni jinsi gani wa tz wanavo teseka kuzaliliswa kukosa haki zao za kimsingi kwaujinga wa watu wachache wasio makini nakazi walizo pewa kuwatumikia wa tzUongozi wa uwanja wa Taifa ni mbovu kabisa, generator zipo, zilikuwa hazina mafuta! can you believe it?
Mimi hapa niko hapa Sikonge kikazi umeme umekatika ghafla. Nilipojaribu kufuatilia wenzangu wamesema hata majumbani kwao mikoani ni giza tupu. Kuna tetesi kuwa ni grid ya taifa imeachia, yaweza kuwa sababu ni fault, overload etc na nchi nzima inawezekana tuko gizani. .
dsm karibia yote haina umeme. watu wa mikoani pia wanalalama facebook hamna umeme. ni tatizo gani na huyu waziri kwanini asijiuzulu tu maana kazi imemshinda? tunahitaji serikali inayowajibika
Utabiri wa Ustaadh Idris Rashid umetimia.