Tanesco kigoma ndio ufisadi au nini? Giza siku 3 kulikoni?

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Wanajf najua nchi yetu kwa sehemu kubwa bado inapata machungu ya mgao wa umeme kutoka gridi ya taifa, hapa kigoma generator mpya zilizozinduliwa kwa mbwembwe na Raisi Kikwete mwezi wa tano 2010 sasa ni "white elephant". Mji wa kigoma kwa siku 3 sasa uko gizani generator zimezimwa na hakuna maelezo ya maana kutoka kwa uongozi wa Tanesco kigoma....jamani tukimbilie wapi sasa kila mahali ni giza totolooo!
 
Na 2015 mwendelee kurudia makosa afu mje lalamika tena humu jf
 
Kwa taarifa ambazo si rasmi zinasema bado hakuna maelewamo kati ya bei ya mafuta ya Tanesco kununua, kwa hivyo jamaa wamegoma mpaka muafaka upatikane na vile vile wapo na malori maeneo ya kibondo wanasikilizia kwa hivyo hata leo ni giza.
 
Back
Top Bottom