Tanesco inaumiza wateja-inatisha

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
805
425
Wakuu,unapofungiwa umeme unalipia kila kitu,nguzo,mita,service line,wire,usafiri,vibarua n.k.Unaponunua umeme kwa sasa ni wastani wa TShs 195 kwa unit moja.Ni garama sana.Mi nauliza kwa wale wanotumia Luku,utakuta kila mwezi wanacharge service charges,pia wamepandisha sana.Je hizi service charge ni za nini kwa mtu wa luku?Ukinunua kwa M-pesa,Zap,tigo pesa kuna charge nyingine.Jamani naomba tujulishane hizi garama ni za nini?Je hamna njia mbadala ili tuachane kabisa na Tanesco?
 
umesahau na 1% ya ewura na wakishakusanya hayo wanjilipia gym zao.

huyu ewura ndiye aliyetakiwa kututetea, lakini naye anachekelea kwani naye ni sehemu ya tatizo na ana maslahi na tatizo, so a conflict of interest=total failure
 
Solar naipigia hesabu kuondokana na hawa jamaa wizi mtupu. Wee acha tu! Nguzo ikidondoka basi lazi uwapatie kitu kidogo ili waje. Wakifika wanadai wameileta mpya kumbe wizi mtupu wanarudishia hiyo hiyo mpya yauzwa sehemu nyingine
 
Kuhusu Solar inategemea unaishi wapi mkuu. Kama uko mikoa ya Nyanda za juu kusini yaweza kuwa rahisi maana wao wanapata kutoka Malawi huenda na Zambia pia. Kwa Kanda ya Ziwa pia bei si mbaya sana sijajuwa wanapaka kutoka Kenya au wapi. Ila kama uko Dar bei ni mbaya sana sijuwi kwa nini. Kuna jamaa mmoja alitaka kuweka full solar yaani kuendesha kila kitu nyumbani akaamwambiwa gharama yake ni milioni 20, akakata tamaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom