Tanesco Ifunda: Ni kweli sayansi eneo hili imechemka kwenye uchawi?

Next Level comment yako ya kwanza umeielaborate vizuri sana. Watu waache hizi imani
potofu. Nakubaliana na wewe kabisa hapa swala zima litakuwa ni shirika la Tanesco na wandugu kutokufikia makubaliano sasa kuepuka hitilafu ambazo zitaweza kujitokeza au kusababishwa na hiyo miti waliona vyema kutumia njia hiyo. kumbukeni hiyo miti ni mibichi miaka yote haikauki sasa umeme na ubichi wapi na wapi. Hizi imani zinaturudisha nyuma kila siku..
 
Sitaki kuamini kwamba watu tuliopelekwa shule kwa gharama kubwa hivyo tutakuwa tunaamini miujiza kirahisi hivi.

Unajua kama ingekuwa kweli, lile eneo lingekuwa bonge la tourist attraction in the world. Yaani unatengeneza demo ya jinsi umeme unayosimamishwa na nguvu za mizimu. Tehe tehe.

Tuwe tunashirikisha akili kidogo tu, sio kila stori unayosikia ukasimulie kama vile umeshuhudia.[/QUOT

Hapo kwenye kutengeneza demo utakuwa unasimama wapi? Wakati hapa unaambiwa hata wafanyakazi wakati huo walipoteza! Napenda tu kusema haya yalisyosemwa hapa hata mm nilisikia hivyyo hata kabla ya kuifahamu sehemu yenyewe na baadae nilipita na kujionea.Binafsi naamini kuwa ni kweli mbona sehemu nyingine nyaya zimepita juu ya makaburi na kwanini isiwe pale?
 
Kwani simmesema kwamba walifunga umeme na kupitisha nyaya juu ya hayo makaburi lakini ukawa haupiti? Au stori imeshabadilika tena? Si mmesema baada ya ku-trace ndio wakagundua umeme umekwamia juu ya makaburi, na ndipo wakaamua kupitisha upande wa pili? Sasa unaniulizaje tena kwamba anayetengeneza demo atasimamia wapi? Kwani walivyotengeneza mara ya kwanza walisimamia wapi?

Binafsi sina tatizo na imani yako. Ila unapoanza kusema sababu zinazokufanya uamini ndio naanza kuona tatizo liko wapi. Halafu naogopa zaidi pale ninapo-imagine kwamba mkuu wewe ndio mwalimu utakayekuwa unamfundisha mtoto wangu :) Au ndio utakayekuwa waziri wa nishati na madini some day. Hii nchi itasogea kweli namna hii?

Kama kinachokufanya uamini hivyo ni kwamba sehemu nyingine nyaya zinapita na sio hapo, basi angalau tambua kwamba una-assume kwamba sababu ya wao kutopitisha huo umeme hapo ni kwamba haiwezekani kupitisha umeme hapo, halafu ndio unatumia hiyo assumption yako kuonyesha kwamba haiwezekani kupitisha umeme hapo. Du! Yaani unataka kuonyesha kitu flani ni cha kweli kwa kuanza ku-assume kwamba ni cha kweli halafu una-conclude kwamba ni cha kweli kwa sababu umeassume ni cha kweli. Na unakuwa umejiridhisha kabisa kwamba ni cha kweli. Mungu tusamehe!

Kunaweza kukawa na sababu nyingi tu za msingi tufauti na ushirikina na mizimu. Na sina tatizo na mtu kuamini sababu anayotaka yeye, hata hizo za ushirikina na mizimu. Ila pale unapoipigania imani yako kwama vile ndio ukweli, na kutaka kila mtu aichukulie kama ndio ukweli, hapo ndipo tatizo linapoanza.

Kwa nini tusifunge safari kwenda pale watu wachache? Tunahitaji tu betri ya gari, na nyaya mbili ndefu kama mita 200 hivi, na nauli. Then tukafanye experiment pale inayoonyesha jinsi voltage inasizi na electron zinasimama pale nyaya zinapopita juu ya makaburi. Au mnasubiri mpaka wazungu waje kuwafanyie ndio muache kuamini upuuzi?
 
marekebisho. 90 turn ipo baada ya kupita njiapanda ya Tosamaganga unapoanza mtelemko mkali kuelekea Tanangozi. Kuna makaburi sehemu mbili ktk line ile ya umeme,na yametenganishwa kwa umbali wa kama mita 400 hivi.

Ukitoka Iringa utatangulia kuona makaburi hayo yasiyo na kasheshe,mita 400 mbele utaona line ya umeme imehamia kushoto kwako,20m ahead kuna hayo makaburi yenye kasheshe. Makaburi haya hujulikana kama makaburi ya Martin Kiyeyeu.

Hear say ni hizi; Miti ya pale kwa kiyeyeu ilipokatwa matawi yake,asubuhi waliona mti uko vilevile kama jana haukukatwa. Lakini makaburi yale mengine miti ile imepunguzwa matawi bila noma. tanesco walipopitisha umeme,umeme ulifika nguzo inayokaribia makaburi,electron flow ikafia hapo. Kaburi dume liko umbali wa mita moja toka barabara ya lami. Yaani hata wajenzi wa barabara walichemsha. Ni mpaka uone kwa macho ndo utaamini kisemwacho.

Siamini katika nguvu za giza lakini factually ni kweli TANESCO wamepindisha line zao juu ya kaburi la huyo jamaa Martin Kiyeyeu ambaye jina linasomeka vizuri toka barabarani.
Nimepita mahali hapa nikielekea Mbeya mara nyingi sana lakini hakuna maelezo ya kitaalam kwa nini TANESCO wa mefanya hivyo
Wakazi wa hapo mahala tupeni historia ya huyu jamaa Martin Kiyeyeu na mahali hapa.
 
Kukosekana kwa maelezo (ya kitaalamu au yasiyo ya kitaalamu) sio sababu tosha ya watu kurukia kuamini kwamba kulikuwa na sababu zinazohusiana na mizimu.

Hii inaonyesha aina ya jamii tuliyonayo. Mtu anakusimulia hadithi hata humuulizi ameitoa wapi, au hata maswali mengine madogo madogo tu, unaanza na wewe kuisimulia na kubishana kama vile ulikuwepo wakati wa tukio.

Afadhali wale ndugu zetu hapa wanaotutaarifu kinachosemwa huko na wakituambia wazi kwamba ni hear say. Wenzangu na mie mnaong'gangana kama vile mlikuwepo, kusema kwamba ni ukweli nguvu za mizimu ndio zilisababisha hiyo diversion, kusema ukweli mnanitisha. Hivi nyinyi mkiambiwa mkate mkono wa albino ili mpate utajiri, hamtakata kweli?

Halafu sisi ndio wale tulioelimika, tuna access na umeme, na hata internet. Ile asilima 80 au zaidi itakuwa vipi?
 
Mkuu Manitoba, your argument lacks merit.
Ni vema tukaongea FACTUALLY na sio kutegemea hearsay.
Katika andiko langu la awali nimeseam IT IS A FACT kwamba TANESCO wamepindisha line ya umeme hapo katika mteremko wa kwenda Tanangozi kule Iringa.
Hili halina ubishi
Pili, sehemu iliyopindishwa huo umeme ni sehemu ya hilo kaburi la huyo Martin Kiyeyeu-hili vile vile siyo la ubishi na mimi nimeliona kwa macho yangu , sikuhaditiwa, kwa hiyo sio hearsay.
Sasa sielewi mantiki ya ubishi wako , maana mimi nimetaka maelezo toka TANESCO na kutoka kwa wananchi walioko karibu na mahali hapa.
Maoni yako mkuu yangekuwa na maana kama ungekuwa na sababu ya kupinga hizo facts.
In actual fact vile vile siamini katika nguvu za giza na ndio maana naamini kuwa lazima kampuni ya kihandisi kama TANESCO lazima wana sababu za msingi katika kupindisha line ya umeme pale mteremko wa Tanangozi.
 
Nadhani tuko upande mmoja mkuu. Labda sikutakiwa kukuquote, lakini paragraph ya kwanza tu ndio ulikuwa unahusu post yako, maana kutokana na ulichooandika kwenye ile post nilibakini na impression kwamba, japokuwa huamini kwenye nguvu za giza, unahitaji uthibitisho kutoka TANESCO ili uhakikishe kwamba kweli sio nguvu za giza zilizolazimasha TANESCO kupindisha. Samahani kama nilikuelewa vibaya.

Nilipozungumzia watu kusikia hadithi na kuanza kuzisambaza kama vile wao ni mashahidi nilikuwa nazungumzia claim kwamba nguvu za giza ndio zilizolazimisha line ya umeme kupelekwa upande wa pili. Mpaka picha ya hilo eneo tumewekewa hapa, kwa hiyo hakuna ubishi kuhusu kupindishwa kwa line.

Tatizo liko kwenye sababu za kupindishwa huko, na hofu inayojengwa moyoni mwangu kuona wengi wa wananchi wenzangu wanaweza kuamini kwamba kuna nguvu za mizimu zinaweza kusimamisha electron zisitembee. (Ila sina uhakika kama wanamaanisha electron ndio zilisimama, au voltage ilipote na kuwa 0 upande wa pili).

Kusema ukweli inanitisha mno kwamba mtu anaweza kuambiwa watu walikufa kwa kujaribu kupitisha umeme juu ya hayo makaburi halafu akaamini bila hata ya kuuliza swali, halafu akatoka hapo na kwenda kumuhadithia mtu mwingine kama vile yeye ndio alikuwa kwenye tukio, yaani ameamini 100%, yuko tayari hata kupigana kutetea hilo.
 
Siamini katika nguvu za giza lakini factually ni kweli TANESCO wamepindisha line zao juu ya kaburi la huyo jamaa Martin Kiyeyeu ambaye jina linasomeka vizuri toka barabarani.
Nimepita mahali hapa nikielekea Mbeya mara nyingi sana lakini hakuna maelezo ya kitaalam kwa nini TANESCO wa mefanya hivyo
Wakazi wa hapo mahala tupeni historia ya huyu jamaa Martin Kiyeyeu na mahali hapa.

hivi design speed ni ngapi hii barabara?............je vipi hilo kaburi na closeness yake kwa Barabara.....?
 
hivi design speed ni ngapi hii barabara?............je vipi hilo kaburi na closeness yake kwa Barabara.....?
Kabla ya kaburi hilo kuna kona ambayo ni gradual(about 400m) na mteremko ambao ni mkali kiasi unaoanzia mbali(about 800m) , na kama ulivoona post moja ya picha hapo nyuma mteremko huu unaenda kwa mita nyingine 600 au zaidi.
Nimeshuhudia sehemu hii hadi mabasi yakishuka kwa 140=150/km/hr na gari dogo hadi 170km/hr.
Ni sehemu hatari.
Kwa kupanda huo mlima-sehemu lililopo kaburi mwendo si wa kasi kama kushuka.Hilo kaburi liko umbali wa chini ya mita 2 kutoka kingo (shoulder) ya barabara.
 
hehehehe umeona mzee hapo electons zilidunda kwenye kaburi hilo jeupe huyo mzee alyezikwa hapo ndo Ndundami wa enzi hizo naona hata Mtwa Mkwawa alikuwa haoni ndani kwa sayansi ya Kibongo.

Mkuu, heshima kwako. hongera kwa kuweka picha inayojieleza na hata kwa wale wasiwahi kupita hapo watajifunza kitu.
lakini mkuu nafikiri maana ya jina ndundami ni msaidizi wa mganga wa kienyeji;diye anayetumwa kwenda kuchuma dawa, kutupa daw, kumpa mgonjwa dawa na kubeba mkoba wa uganga wa huyo mganga("bogolo").

Tuendelee na mada ya msingi.
 
JF

Ni kweli kuwa kuna sehemu along Iringa - Mbeya road baada ya Iringa, nguzo za umeme zimechange toka upande wa Kulia kwenda kushoto zikikatisha barabara.

Nilitelemka na kucheki vizuri kweli nguzo zime-cross road, nikachunguza zaidi nikaona kuna kaburi moja ambalo lipo jirani tu na barabara - taarifa zinasema kila wakiweka nyaya signals za umeme zilikwama kupita na walipojaribu kufumua kaburi vijiko ya matrekta vilishindwa kufanya kazi.

Kwa hiyo msije mkashangaa hata pale kwa kakobe signal ya umeme toka upande mmoja isipite kwenda upande wa pili - hizi nguvu zipo.

Aliyepita hapo na kuchunguza anaweza akamwaga details zaidi - maana ki sayansi hakukuwa na sababu ya kuchange from one side of the road to the other bila kuwa na obstacle
yoyote.
 
ni kweli kabisa kaburi hilo lina maajabu sana

ni kweli umeme haupiti pale mpaka wakaamua kupindisha nguzo
kunaajali tatu ziliwahi kutoke pale na kugonga kaburi lile lakini msalaba haukuvunjika.nakumbuka scandnavial iligonga kaburi halikuvunjika, kuna fuso ilikuwa imebeba magodoro nayo iliparamia kaburi lakini halikupasuka.
ukipita usiku pale na waweza kuona kaburi linawaka moto, unashauriwa usivuke.
kipindi tanesco wanapitisha nguzo pale walijaribu kukata miti iliyo karibu na kaburi hilo lakini kesho yake waliikuta kama ilivyo.

pana maajabu yake
 
pale kwa kakobe umeme utapita tena bila was wasi
nguvu hizi mbili ni tofauti kabisa
 
Kuta kuwa na mvutano wa nguvu za sumaku katika eneo hilo.

Hicho cha moto kuwaka na kaburi kutokuvunjika linapogongwa sijui, labda muweke picha kama ushahidi ndio tuanze kuzungumzia na hilo
 
Kuta kuwa na mvutano wa nguvu za sumaku katika eneo hilo.

Hicho cha moto kuwaka na kaburi kutokuvunjika linapogongwa sijui, labda muweke picha kama ushahidi ndio tuanze kuzungumzia na hilo

Unanikimbusha primary mambo ya usumaku na umeme
 
Unanikimbusha primary mambo ya usumaku na umeme

Kumbe mlifundishwa primary? Apply basi taarifa mlizopewa!! Mambo mengi tunayoogopa waAfrika yana maelezo ya kimsingi tu ya sayansi!!
 
Kumbe mlifundishwa primary? Apply basi taarifa mlizopewa!! Mambo mengi tunayoogopa waAfrika yana maelezo ya kimsingi tu ya sayansi!!
That is my village nawakati umeme unapita maeneo hayo nilikuwa mwanafunzi. Pale chini kuna njiapanda inaitwa njiapanda ya Mlolo. Inakwenda shule moja inaitwa Wenda.
Back to the point; Maneno hayo hata sisi wakati tunakuwa tulikuwa tunayasikia. Ila ukweli kabisa hakuna anaweza kutoka mbele na kuthibitisha labda TANESCO tu. Ninachokumbuka ni kuwa umeme ulivyofika pale process ilichukua muda mreefu sana kuliko maeneo mengine na baadhi ya watu wakasema wameshindwa kufikia muafaka na wenye makabuli. Kuhusua ajali huenda limekuwa eneo baya miaka ya hivi karibuni maana pale barabara imenyooka mpaka unavyokaribia Tanangozi.
 
ni kweli kabisa kaburi hilo lina maajabu sana

ni kweli umeme haupiti pale mpaka wakaamua kupindisha nguzo
kunaajali tatu ziliwahi kutoke pale na kugonga kaburi lile lakini msalaba haukuvunjika.nakumbuka scandnavial iligonga kaburi halikuvunjika, kuna fuso ilikuwa imebeba magodoro nayo iliparamia kaburi lakini halikupasuka.
ukipita usiku pale na waweza kuona kaburi linawaka moto, unashauriwa usivuke.
kipindi tanesco wanapitisha nguzo pale walijaribu kukata miti iliyo karibu na kaburi hilo lakini kesho yake waliikuta kama ilivyo.

pana maajabu yake

Edson umemsikia enjinia? ni kweli kabisa kwamba umeme ni just flow of electron's kutoka kipitisho kimoja ( aconductor) kwenda kingine, sasa ndugu yangu hizi elecrons inawezekana zikashidwa kupita kutokana na nguvu fulani - sasa huyu inginia ansema kuna nguvu ya usumaku inayofifanya zisipite -

Hizi nguvu za mvutano na hizi za usumaku huwa zipo sehemu nyingi tu duniani - hata ukisafiri kwenye ndege kuna maeneo mkifika kunakuwa na mtikisiko sana na mnaambiwa mnapita sehemu mbaya so mfunge mikanda.

Kwa hiyo injinia ana point - ila bado tunakaribisha points za wadau wenye uhakika na hilo kaburi kuwa ndilo limezuia hizi electrons zisipite eneo hilo na point nyingine ni kwamba hiko kaburi lipo jirani sana na barabara na navyojua mimi 15m off both sides ni mali ya Tanroads, sasa Tanrods kwa nini wasiliondoe hili kaburi katika eneo la barabara?
 
That is my village nawakati umeme unapita maeneo hayo nilikuwa mwanafunzi. Pale chini kuna njiapanda inaitwa njiapanda ya Mlolo. Inakwenda shule moja inaitwa Wenda.
Back to the point; Maneno hayo hata sisi wakati tunakuwa tulikuwa tunayasikia. Ila ukweli kabisa hakuna anaweza kutoka mbele na kuthibitisha labda TANESCO tu. Ninachokumbuka ni kuwa umeme ulivyofika pale process ilichukua muda mreefu sana kuliko maeneo mengine na baadhi ya watu wakasema wameshindwa kufikia muafaka na wenye makabuli. Kuhusua ajali huenda limekuwa eneo baya miaka ya hivi karibuni maana pale barabara imenyooka mpaka unavyokaribia Tanangozi.

Hii kitu niliisikia Bungeni. Mbunge wa mali asili na utalii akisistiza tutangaze kile kama kivutio cha utalii.
Mkuu ningepata hayo maelezo ya miti kukatwa leo kesho inarudi kama ilivyokua Mwanzo nadhani hapo unataka kunisafirisha baba. Ninaamini kabisa hili tukio lingekua moja ya 7 wonders of the world! au nimekosea?
 
Back
Top Bottom