tanesco huduma kwa wateja

julisa

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
209
49
Nawapongeza tanesco kwa kuwa na simu za huduma kwa wateja ambazo zinapatikana na kuweza kukusaidia. Sio km makampuni ya simu lkn simu zao hazipatikani.

Jana nilikua na tatizo la luku usiku nikapiga simu ya landline nikawapata wakanielekeza simu ya mobile na nikapiga nikampata mhudumu nae akanisaidia.

Pls airtel, voda, tigo na zantel jifunzeni kuwa na hotline nrs
 
umedhani ndo wanafaaa eeeh?
Subiri upate dharura itakayohitaji waje kurekebisha ndo utajua kama huduma kwa wateja inafanya kazi au la.....
 
Unabahati wewe mie niliwahi piga simu wakasema watatuma watu looo mpaka nilipokwenda mguu kwa mguu na ugomvi juu ndio wakajashughulikia baada ya siku 2
 
hawajui tanesco huyu. Mie niliripoti tukio la nguzo kutoa cheche toka february mpaka leo,nikaishia kupewa namba mpaka leo hawajakanyaga.

Chezea gizasco. . . Sorry. . Tanesco


Unabahati wewe mie niliwahi piga simu wakasema watatuma watu looo mpaka nilipokwenda mguu kwa mguu na ugomvi juu ndio wakajashughulikia baada ya siku 2
 
Back
Top Bottom