Tanesco; Hivi kuna mgao wa umeme kimya kimya?

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,277
13,212
juzi msemaji wa tanesco alisema kuwa kwa sasa mabwawa yote ya kuzalisha nguvu za umeme yamejaa,hivyo kwasasa mgao umekwisha.cha ajabu toka jana huku maeneo yote ya temeke umeme unakatwa toka saa mbili asubuhi mpaka saa tatu usiku!
 
Nahisi mgao umeanza tena manake siku hizi za karibuni amna siku inayopita bila umeme kukatika na ukikatika unachelewa kurudi haswa
 
mi mwenyewe nashangaa,huku maeneo ya ukongo ndo imekuwa km dozi yan ni wanakata kila siku tena hawana ht ratiba ya kukata,wakijisikia tu wanaswitch off,ndo najiuliza ni mgao au wahusika wanatafuta sbb ya kujipatia 10%.
 
Haya ndo maboresho ndo maana wameamua kupandisha kwa % 41.Watanzania sasa tufike wakati tuwe kama NIGERIA
 
juzi msemaji wa tanesco alisema kuwa kwa sasa mabwawa yote ya kuzalisha nguvu za umeme yamejaa,hivyo kwasasa mgao umekwisha.cha ajabu toka jana huku maeneo yote ya temeke umeme unakatwa toka saa mbili asubuhi mpaka saa tatu usiku!

Aliyewambia kwamba mgao wa umeme umekwisha, aliwadanganya! Wamekwisha kudanganya hivyo, mara nyingi. Chanzo cha mgao wa umeme, ilikuwa siyo kukosekana kwa maji katika mabwawa. Ni zaidi ya hilo! Ni kitendawili kigumu!
 
Kumekuwa na katizo la umeme kwa kupokezana katika maeneo tofauti ya nchi lakini sijasikia tamko lolote kutoka tanesco. Kama mgao umeanza mtuambie.

Wapi mama badra masudi. Siuseme?
 
Tangu jana maeneo mengi wilaya ya kinondoni hayapati umeme hasa nyakati za mchana, kulikoni mwenye taarifa atujuze
 
mkuu nchi inaanguka! Umeme Tanesco wanauziwa bei ya kutisha! Serikali imeshindwa kulipa! Zitto amehoji juzi na haya ndio matokeo! Kazi ipo!
 
Nami nahc mgao umeanza tna...maana jana ulikatika tngu asbh na kurudi saa moja jioni..na leo umekatika tangu asbh.
 
Kama umeshindwa kuchukua hatu vumilia hadi mwaka 2015 tena
 
Ni week ya pili sasa jiji zima la dar es salaam hasa maeneo ya sinza.kariakoo,posta umeme unakatika karibu kila siku.Nakumbuka mheshimiwa Ngereja Katutangazia kwisha kwa mgomo Kupitia bunge je huu mgao unatoka wapi?Na kama ni mgao tukufanyeje maana tumechoka kudanganywa kila siku.
 
Hata mimi nashangaa, naona mgao umerudishwa kimya kimya.
Kazi kweli kweli.
 
Vijijini kwenu kuna umeme? Watanzania 14% ndio wenye umeme 95% kati yao ni wa mijini.

Nyie toka mhamie mijini muujuwe umeme ndio nini basi hatusemi.
 
Arusha tangu last week ni issue!hata sasa hivi umeme umekatika maeneo ya phillips
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom