Tanesco;embu punguzeni rushwa kidogo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Nipita katika moja moja ya mahitaji yangu nikakutana na hawa mabwana wanaitwa tanesco pale magomeni;kumejaa uchafu mtupu sidhani kama wana kiongozi anaewaendesha;yaani kuanzia unapoingia;sura zimekaa njoo kwa njoo kwangu;unapokaribia;ndipo unajua amekuja kazini kucheza ama kuangalia miti ya umeme;

unaomba file lako na majuzi umeliona wanatafuta wanakwambia alionekani labda kumbuka aliekutafutia nyie watu mmeaga kuja kazini kweli;
umelipia kuingiziwa umeme nina mwezi wa tatu sasa jamani naenda narudi naenda narudishwa naambiwa uko kwenye list watu walionikuta wameshaingiziwa umeme huu uhaini utaisha lini tanzania jamani;iweke wazi kuna pesa nyingine ya kulipia baada ya pesa ya kawaida watu wapate umeme.....

kyeruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom