Tanesco Bukoba kunani???

Takayangu

Member
Nov 12, 2011
35
13
Hili shirika la tanesco bukoba mbona mnatutesa maana toka jana saa 12jioni walipokata umeme haujarudi hadi leo na hawajatoa taarifa yoyote ile kwa waathirika wa tatizo hili. Au ndo kusema ni mgao??? Maana na mkoa huu saa 12 na nusu asubuhi utadhani ndio saa 11 kasoro alfajiri kwa dar. TUNAOMBA WAHUSIKA MTUJUZE TATIZO NI NINI ILI TUWEZE KUJIANDAA KWA NJIA NYINGINE. NAWSILISHA.
 
Nasikia uko BK ukilipia service line subiri hadi miezi 5 ndio wanaleta umeme,kisingizio heti ni mita hakuna.
 
Hili shirika la tanesco bukoba mbona mnatutesa maana toka jana saa 12jioni walipokata umeme haujarudi hadi leo na hawajatoa taarifa yoyote ile kwa waathirika wa tatizo hili. Au ndo kusema ni mgao??? Maana na mkoa huu saa 12 na nusu asubuhi utadhani ndio saa 11 kasoro alfajiri kwa dar. TUNAOMBA WAHUSIKA MTUJUZE TATIZO NI NINI ILI TUWEZE KUJIANDAA KWA NJIA NYINGINE. NAWSILISHA.

Afadhali hiyo ya Bk kuna sehemu fulani nilipita inaitwa Mlabani -Ifakara -Kilombero tangu January hawana Umeme kisa transfoma mbovu na eti hakuna fundi wa kurudishia mpya.EEEEEH HII TANESCO KAZI KWELI..
 
Hili shirika la tanesco bukoba mbona mnatutesa maana toka jana saa 12jioni walipokata umeme haujarudi hadi leo na hawajatoa taarifa yoyote ile kwa waathirika wa tatizo hili. Au ndo kusema ni mgao??? Maana na mkoa huu saa 12 na nusu asubuhi utadhani ndio saa 11 kasoro alfajiri kwa dar. TUNAOMBA WAHUSIKA MTUJUZE TATIZO NI NINI ILI TUWEZE KUJIANDAA KWA NJIA NYINGINE. NAWSILISHA.

Kwanini usiende kitengo cha Emergency pale mkoani na kuuliza tatizo ni nini ?
 
Back
Top Bottom