M Mchekechoni JF-Expert Member Apr 24, 2008 279 19 Jan 3, 2011 #1 Tanesco kampa talaka Dowans (mama wa kambo? ) naye kadai fidia ya kuachwa solemba, sasa watoto tunalala njaa? No power...no development!
Tanesco kampa talaka Dowans (mama wa kambo? ) naye kadai fidia ya kuachwa solemba, sasa watoto tunalala njaa? No power...no development!
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Aug 9, 2007 18,697 8,843 Jan 4, 2011 #5 ZenaTulivu said: Sasa mama halisi yuko wapi mpaka hapo? Click to expand... Mtera,kidatu, Nyumba ya mungu, hale etc.
ZenaTulivu said: Sasa mama halisi yuko wapi mpaka hapo? Click to expand... Mtera,kidatu, Nyumba ya mungu, hale etc.