TANESCO announces indefinite power outages

stonehouse

Member
Jan 14, 2012
21
1
DAR ES SALAAM, June 25 (Reuters) - Tanzania's state-run power company has announced daily 12-hour power cuts for an unspecified period because of low water levels at hydropower dams and a shortage of fuel for thermal power generation.
East Africa's second largest economy has been plagued by frequent power-outages since December.
The International Monetary Fund (IMF) cut its 2011 growth forecast for Tanzania to 6 percent from 7.2 percent in March, saying frequent power outages would hurt output while food and fuel prices could push inflation higher.
The latest round of power cuts caused by a national shortfall of 200 megawatts (MW) come after a deficit of natural gas supply in May led to rolling 16-hour power blackouts.
"The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) regrets to inform its customers ... that it has been forced to extend power rationing to all regions connected to the national grid, including Zanzibar," the company said in a statement seen by Reuters on Saturday.
The utility did not say when the power rationing would end.
TANESCO said water levels at the country's main hydroelectric dams were almost depleted, leading to a reduction in power generation.
"By June 22, the water level at Mtera dam was only 690.88 metres above sea level ... the minimum level at the dam, which will not allow power generation, is 690 metres above sea level," said the statement.
Tanzania depends heavily on hydropower for energy and experiences frequent power shortages during dry seasons.
TANESCO said the government will import heavy fuel oil for a privately-owned power plant that currently generates just 10-megawatts against its installed capacity of 100 MW.
Dollar demand from oil importers is one of the factors that helped drive the Tanzanian shilling to a record low against the dollar this month.
Tanzania has energy demand close to 900 MW capacity, but produces less than 800 MW.
The government has floated tenders inviting independent power producers to set up emergency power plants this year to generate an additional 260 MW of power.
The country's five-year development plan targets generation of more than 2,700-megawatts by 2015/16.

Tanzania announces indefinite power outages | Reuters
 
Tanzania announces indefinite power outages

Sat Jun 25, 2011 11:11am EDT

* Drought, fuel shortage hits power generation
* Nation faces daily 12-hour electricity cuts

DAR ES SALAAM, June 25 (Reuters) - Tanzania's state-run power company has announced daily 12-hour p
 
Wewe kweli 'stonehouse'. Hii habari ina zaidi ya mwaka sasa (June 2011 to be precise). Then unaleta kwenye jukwaa la Kenya! Vipi ndugu?

Mkuu mambo mengine uwezi kujua mleta post ana ajenda gani, jana nilimsikiliza mwanzo mpaka mwisho Waziri wa Nishati na madini hakuzungumzia chochote kuhusu mgao - sasa mwezetu habari hizi kuzipata kupitia media ZIPI?
 
Wewe kweli 'stonehouse'. Hii habari ina zaidi ya mwaka sasa (June 2011 to be precise). Then unaleta kwenye jukwaa la Kenya! Vipi ndugu?
...... Huyo ni moja ya majinga ya JF...kwanini ameweka post hii...kututisha....mtu mzima hatishiwi nyau...anadhani tunaongopa mgawo...tumeisha kubuh..na uje tu
 
Wewe kweli 'stonehouse'. Hii habari ina zaidi ya mwaka sasa (June 2011 to be precise). Then unaleta kwenye jukwaa la Kenya! Vipi ndugu?

Hehehe, mdau nasikia malalamishi yako. Nilitaka tuangalie mambo mawili matatu kuhusu changamoto za idara ya nishati. FJM hamjui kuwa mambo haya huaribu ukuaji wa uchumi; ni juzi tu kumetangazwa kuwa upungufu wa petroli sehemu za kilimanjaro, Dar na sehemu zingine. Je! TZ itashindwa kuendesha uchumi? Watz wanatarajia uchumi itaboreka vipi ikiwa bado umeme katika viwanda ni tatizo?
.
 
In contrast

mv1.png
 
Acha umbea. pamoja na kwamba hatuna umeme wa kutosha na hatutakuwa na uhakika kwa jambo hili lakini jaribu kutoa taarifa za ukweli.

Naomba kuwasiliosha.
 
Hehehe, mdau nasikia malalamishi yako. Nilitaka tuangalie mambo mawili matatu kuhusu changamoto za idara ya nishati. FJM hamjui kuwa mambo haya huaribu ukuaji wa uchumi; ni juzi tu kumetangazwa kuwa upungufu wa petroli sehemu za kilimanjaro, Dar na sehemu zingine. Je! TZ itashindwa kuendesha uchumi? Watz wanatarajia uchumi itaboreka vipi ikiwa bado umeme katika viwanda ni tatizo?
.

Mazee acha maneno ndefu bana,Omba radhi kwa kukurupuka yaishe!
 
In contrast

mv1.png
Hawa naona wamerudi tena baada ya zile mvua kubwa na tahadhari kibao,na hatukushuhudia mvua yoyote ukanda huu wa pwani yetu.Na wakanyoosha mikono nakutuambia kuwa mawingu yamekimbilia pwani ya djbout na somalia.nafikiri hatuna watabiri waliobobea na kuchanganua mambo wakajipange tu upya kuliko kutuweka roho juu na kutuingiza gharama zisizo za lazima.
 
Huyu mama Dr. Kijazi na team yake ya TMA ni balaa tupu.
Hua najiuliza pale kwenye habari za hali ya hewa za majiji duniani kwenye vituo kama CNN, au BBC mbona Dar es salaam au Dodoma hua haionyeshwi kama Nairobi? CNN waliwahi kuonyesha mara moja tu wakati Bush amaekuja kuzindua vyandarua na kuchukua dhahabu zake kule North mara!
 
Stone House hahhaaaaa kweli hili ni lile jiwe kuu la waashi likiwekwa mahali hata miaka mia ni sawa na kuwekwa leo tuu ndo maana....................
 
Hehehe, mdau nasikia malalamishi yako. Nilitaka tuangalie mambo mawili matatu kuhusu changamoto za idara ya nishati. FJM hamjui kuwa mambo haya huaribu ukuaji wa uchumi; ni juzi tu kumetangazwa kuwa upungufu wa petroli sehemu za kilimanjaro, Dar na sehemu zingine. Je! TZ itashindwa kuendesha uchumi? Watz wanatarajia uchumi itaboreka vipi ikiwa bado umeme katika viwanda ni tatizo?
.

Kwa hiyo unataka tusimamishe basi kwa nyuma, siyo? Why don't you admit umekurupuka?
 
Back
Top Bottom