Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

Kuhusu Episode tofauti kuonyeshwa hiyo ni kweli. Ni Kosa la Transmission EATV. Badala ya kurusha Episode ya 38 walirusha ya 39 so nadhani ikabidi warudie baada ya kupata taarifa.

Kuhusu makosa ya kiufundi, yapo madogo madogo ambayo watu makini kama wewe unaweza kujua. Tulikuwa na Changamoto za kutengeneza Episodes 49 kwa muda wa wiki 6 tu. Watani wa Episode 8 kwa wiki. So kazi ilikuwa inafanyika usiku na mchana. Sometimes Wasanii wanakuwa na dharura na wanaporudi tunakosa continuation kwa sababu za kimsingi. So hilo linakubalika japo flow ya Story bado iko vile vile.
Tamthilia nzuri sana hakikisheni mnakuwa na muendelezo kama isidingo!EATV pana wafaa.
 
Obama amecheza vizuri watu walitegemea kumuona obama akiwa mchafu halafu awe kama zimekatika.
 
Ni kweli ile hata ukianza sasa kuiangalia unaipenda sema hii siri za familia naona matangazo yake tu kifupi bado sijaweza kumudu kuangalia sanaa za tz maana huwa low kiasi flani
kama umeoa na una mtoto/watoto na una hasira/wivu kupitiliza nakushauri usiangalie hii tamthilia hii ina uhalisia mkubwa wa maisha yaliyojaa siri za familia....daah noma sana ila bonge moja la tamthilia.
 
Ni kweli ile hata ukianza sasa kuiangalia unaipenda sema hii siri za familia naona matangazo yake tu kifupi bado sijaweza kumudu kuangalia sanaa za tz maana huwa low kiasi flani

Mimi katikati ya wiki huwa siwezi kufatilia
Huwa napata muda jumapili mchana ndio inarudiwa kwa wiki nzima
Ni kweli ile hata ukianza sasa kuiangalia unaipenda sema hii siri za familia naona matangazo yake tu kifupi bado sijaweza kumudu kuangalia sanaa za tz maana huwa low kiasi flani

Kali sana hiyo tamthilia
 
Sawa mkuu..Kuhusu kuweka utube vipi?..Hamna plan hizo?

Mkuu Youtube tutaweka tu.

Sasa hivi Tamthilia itatoka kwenye DVD then ina booking ya DSTV hatujui mbeleni. So baada ya hapo tutaweka Youtube.
 
Back
Top Bottom