SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

jlm

Member
Dec 15, 2009
29
18
game 1.jpg
game 2.jpg

Its a very nice Series ipo based kwenye vitabu vya A Song of Ice and Fire; ni nzuri na dialogue yake ni bomba sana; inahusu mapambano ya familia (clans tofauti tofauti) wanagombania kuongoza Seven Kingdoms...,
Mpaka sasa series imeingia episode ya nne na mwandishi ameshaandika vitabu sita; cha saba huenda kikatoka mwisho wa mwaka huu; na amesema inabidi aandike haraka kabla series haijamkamata na kumfikia kabla hajamaliza..

Ni series nzuri yenye dialogue za nguvu, some fighting, some magical things as well as nudity na sex (which is a shame sababu watoto watashindwa kuangalia which would have been an otherwise entertainment for everyone) Kwahio angalia ila usiangalia na watoto
 
depends on your taste...mie ninayo, lakini nilishindwa kumaliza hata single episode... i hope itakuwa ni mzuri but it's not my taste! those Spartacus stuffs make me sick but when I gave the series to my nephew; dah! kaifagilia ile mbaya.
 
Yeah mkuu ni series moja kali sana na ni yakistaarabu (18+) na pia ni historical drama inelezamambo kibao kuhusu koo za kifalme kipindi hicho watu wanawezaje kuwa wafalme bila kuwa na damu ya mfalme.Season 4 ipo njian mwezi huu.xoo get prepaired THE WINTER IS COMING!!!HAHAHAA
 
Its a very nice Series ipo based kwenye vitabu vya A Song of Ice and Fire; ni nzuri na dialogue yake ni bomba sana; inahusu mapambano ya familia (clans tofauti tofauti) wanagombania kuongoza Seven Kingdoms...,

Mpaka sasa series imeingia episode ya nne na mwandishi ameshaandika vitabu sita; cha saba huenda kikatoka mwisho wa mwaka huu; na amesema inabidi aandike haraka kabla series haijamkamata na kumfikia kabla hajamaliza..

Ni series nzuri yenye dialogue za nguvu, some fighting, some magical things as well as nudity na sex (which is a shame sababu watoto watashindwa kuangalia which would have been an otherwise entertainment for everyone) Kwahio angalia ila usiangalia na watoto
nimekuja fasta nikijua season four imeanza. nilisoma vitabu vyake vitano hicho cha sita kinaitwaje?. ni series nzuri sana.
 
Ofcourse Season Four imetoka jana Episode One inaitwa Two Swords unaweza ukastream hapo
Project Free TV :: Game of Thrones :: Season 4

Kwa more info whats going on cheki hapo
Game of Thrones - TV.com

Sorry ni kweli vitabu vipo supposed kuwa saba mpaka mwisho ila vimeshatoka vitano cha sita huenda kikatoka 2014 mwishoni au 2015 mwanzoni na series kumaliziwa 2017

1 A Game of Thrones
2 A Clash of Kings
3 A Storm of Swords
4 A Feast for Crows
5 A Dance with Dragons
6 The Winds of Winter
7 A Dream of Spring

Ila cha sita na cha saba havijatoka cha sita huenda kikatoka december mwaka huu (ila mimi nilisoma hivi vitabu kama spoilers tu..., nadhani Series imetenda haki sana na ni mara chache sana series / movies kuwa nzuri kuliko vitabu.., By the way kwa sisi tuliosoma vitabu bila kuwaharibia ambao hawajasoma... Do you Think John Snow is.........
 
]
thanks kwa info mkuuu. nahisi john snow atakuwa ame......maana mle watu wana.....kiajabu ajabu. lakini lolote lawza tokea. maana maajabu yalishawatokea tyrion, catherine na brienne. unakumbuka mateso theon?.
 
MHh mi nadhani John Snow lazima atarudi kwa nguvu zote (ndio maana nasubiri kitabu kitoke kwa hamu) nadhani Jon lazima atakuwa kati ya Kings watakaokaa kwenye Iron Throne, kwa ukaribu na yule dada mwenye dragons wake na Arya.., Lakini kwaweli actors wa kwenye hii series wamefanya kazi nzuri kabisa na sababu story ni ndefu nadhani series inakuwa ngumu kutafuna hii inapendeza sana kama series zote zikishatoka unaanza kuangalia ya kwanza mpaka ya mwisho
 
Hii series ni nzuri sana, ila mimi nili nunua bila kujua, si nikawa naangalia na remote mkononi (sex scene ziko kibao).
 
depends on your taste...mie ninayo, lakini nilishindwa kumaliza hata single episode... i hope itakuwa ni mzuri but it's not my taste! those Spartacus stuffs make me sick but when I gave the series to my nephew; dah! kaifagilia ile mbaya.

Wewe upo kama mimi. Fantasy is not my genre.

Game of Thrones nimekuwa nikinunua Bluray zake, lakini ni kwa watu wengine kuangalia tu.

Nilijaribu kuangalia hii mpya a couple of weeks ago one weekend, nikalala.

Labda double doubles single malt nazo zilizidi.
 
Sio siri Kiranga, at least am relieved kwamba kumbe sipo peke yangu... in those old days nilidhani i've something wrong liapokuja suala la fantasy movies/series. Hii GOT nimejaribu kuiangalia upya zaidi ya mara tatu kila ninapokuta discussion kama hizi but nothing changes... nika-conclude kwamba this's not thing.
 
Halafu sasa kuna watu wako so into it.

Mimi naona afadhali hata "The Hunger Games" naweza kuangalia, but then again that is in movie format.

GOT is just too fantastic - in the real sense of the world- for me.
 
Sio siri Kiranga, at least am relieved kwamba kumbe sipo peke yangu... in those old days nilidhani i've something wrong liapokuja suala la fantasy movies/series. Hii GOT nimejaribu kuiangalia upya zaidi ya mara tatu kila ninapokuta discussion kama hizi but nothing changes... nika-conclude kwamba this's not thing.

Naungana na nyie,two times nimedownload season one na kuishia kuangalia nusu episode na kuifuta.

I guess its not my type at ol
 
Back
Top Bottom