Tamthilia 'Who is smarter?'

Mubii

Senior Member
Jul 24, 2008
152
28
Nimeiangalia hii tamthilia kwenye Dstv Africa Magic Swahili. Imenifurahisha sana haswa majamaa mawili Petro na Magugu. Hii tamthilia ambayo ni ya kiingereza inachezwa nchi gani?
 
Back
Top Bottom