Tamthilia maarufu na nzuri ya Shade of Sin.

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
49,015
54,296
ITV kuanzia tarehe 25 mwezi huu watarusha tena tamthilia ya Kibrazil iitwayo SHADE OF SIN,kwaujumla wale waliopata kuiangalia ni nzuri sana. Katika tamthilia kuna majina maarufu Preta,Rai,Ton,Mr Edward,Mr Alphonce,Paco,Fabrinho na wengine wengi. Iliwahi kurushwa na kituo hicho miaka kadhaa iliyopita na kwasasa watarusha tena nadhani wale wapenzi wakae tayari.
 
Capital tv
naipoenda sana sababu kuna sehemu inafurahisha esp sardinia family
ha ha alvarado make up artist
 
Ma mushka na familia yake kwakweli ni wazuri kwa nafasi zao,shukrani mkuu kwa kunisahihisha ni CAPITAL na si ITV
 
Hello kwa kweli tamthilia hii ni nzuri sana kama kuna mwenye web add. ya episodes zote tafadhali aniandikie
 
Back
Top Bottom