Tamko

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
147
Natoa tamko kuwa habari ya Jamboleo ni ya kutunga yenye lengo la kugawa uongozi wa CHADEMA na kuleta mgogoro.

Kumekuwa na habari kwenye magazeti kitambo sasa zenye kuonyesha mgogoro ndani ya CHADEMA. Napenda kuwajulisha marafiki zangu kuwa hakuna mgogoro wowote. Sihami wala sifukuzwi CHADEMA.

Tuna kazi moja tu, nayo ni kuimarisha chama kuelekea 2015 wakati tukipigania mabadiliko ya

Katiba.
Tusiyumbishwe!
Zitto Zuberi Kabwe

Source : http://zittokabwe.wordpress.com/
 
Jambo jema. Ila haijakaa Ki-Zito Zito saaana ... ingawa mwandishi ametoa kwa nia njema
 
Oh! great news Zitto.
Tulikuwa tunasubiri kusikia kwako.wanayotumia ni strategy iliyopitwa na wakati, bahati nzuri mmiliki wa gazeti tumeshamjua wala hatuhitaji kutaja jina lake humu kwani doen't deserve be mentioned in this respectable web.

Tena nawashauri jina lake lisitajwa kabisa kwani tunampa umaarufu pasipo gharama.
 
Mtaje tu mkuu wengine hawamjui ati!!! Hilo gazeti si lilianzishwa miezi michache kabla ya uchaguzi au? Hivi yule Cabon copy ya baba kwa usanii na mbwembwe si ana.... sina hakika hebu tujuze bana.

Natoa tamko kuwa habari ya Jamboleo ni ya kutunga yenye lengo la kugawa uongozi wa CHADEMA na kuleta mgogoro.

Kumekuwa na habari kwenye magazeti kitambo sasa zenye kuonyesha mgogoro ndani ya CHADEMA. Napenda kuwajulisha marafiki zangu kuwa hakuna mgogoro wowote. Sihami wala sifukuzwi CHADEMA.

Tuna kazi moja tu, nayo ni kuimarisha chama kuelekea 2015 wakati tukipigania mabadiliko ya

Katiba.
Tusiyumbishwe!
Zitto Zuberi Kabwe

Source : Zitto na Demokrasia

Pamoja na Tamko ulilotoa bado unadeni kwetu wanachadema, kwa nini habari hizi nzito zitolewe na Mtanzania, Jambo leo, Tazama au Changamoto? Kwani wanafanya habari za uchunguzi kuliko wengine au wamepelekewa na kwa nini mfumo wa majibu haya unaendana na ule wa Mwanahalisi ambapo message zimetumika. Je, ndiyo kujisafisha? and Why you Zitto? Tambua nafasi na thamani yako ktk siasa za nchi hii. Tangu nilipokuona Chuo nimekuwa na hisia kuwa hutabiliki maana kwenye migomo tulipokuwa tukikuunga mkono ghafla ulikuwa unatubadilikia na kutaka tufanye kila kitu unachotaka wewe hata kama kinadhoofisha mgomo. Do you remember? That's what is costing and will cost you much.
 
Zitto, 'm a big supporter of CDM na mabiliko outside Tz. 've been very very disappointed wit yo remarks and de news i hear bout u. Kwanin unaenda tofauti na viongozi wakuu wenzako? Unadhani mafisadi wanaipenda na kuitakia mema CDM? Kwanin uko karibu na EL0 na RA? Kwanini ulikimbilia TBC na kuongelea kutokubaliana na uamuzi wa kutoka bungeni? Frankly that was childish
 
Give him a benefit of doubt; but whoever decision he takes-in favor or against CDM, it will not deter our determination to change and democracy.....
 
Back
Top Bottom