Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

Wangapi mmepoteza kiasi hicho kwa mwanamke? Au kwenye kinywaji?wengi mnaoponda mna kazi zenu na mna uhakika wa maisha.utapeli or not we jitoe mhanga inaweza ikawa kweli wapo legitimate au wakila hela yako unajifunza not trust such people again....all in all without risking ul never achieve

tunajua wewe ni tapeli dr magumashi Mnzava, unatetea utapeli wako. Shukuru Mungu serikali yetu imelala. Mnachukulia tatizo la ajiro kujinufaisha. Muogopeni Mungu
 
me nitaomba, elfu 20000 kitu gani bwana mbona mademu zenu munawahonga zaidi ya hiyo amount lakini kuombea kazi mnajifanya kuweza ku-budget
 
Nikweli hiyo 20,000 ipo atatakiwa kutoa mtu yule tu atakayeitwa kwenye interview na huo ni msimo wa chuo na hautabadilika. Labda niwape mfano mmoja mtu analipia form fulani kwaajili ya kujiunga na chuo au shule anafanya mtihani akifeli hela huwa anarudishiwa? kiukweli huwa harudishiwi na hivyohivyo pia kwenye vyeo vya kisiasa kama uraisi,ubunge n.k utaratibu huu upo.
Sidhani kama kweli mpo serious na plan zenu kwa hiyo mwenye sifa akose nafasi ya kufanya kazi kisa hana 20,000 naona kila dalili ya kuita watu 500 kwenye interview ilimradi mle 20,000 take at least Chuo wanachukua 80,000 hadi applicant 200 kwa kozi sasa nyie huu kama sio wizi ni nn. C mgeomba utumishi wawasaidie kuajiri kuna makampuni kibao ya kuajiri kwa nini msiyatumie acheni ubabaishaji na kuwaibia maskini kila kukicha majambazi wakubwa nyie.
 
Nilikuwa naomba mtu yoyote mwenye information za TIU juu ya interview yao baada ya kulipia ile hela ,labda lini watatuita kwenye usaili kwa wale waliolipia kama ww hutaki maendeleo usijibu message hii
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom