KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #21
Sidhan kama ray kuandika waraka kama huu ni kuweweseka, nadhani unatambua kuwa kila mtu anajengwa na hisia ambapo hisia zinapozidi hupelekea kufanya kitu fulani au kuamua kufanya jambo fulani. Nadhani Ray amekaa ameona jinsi jamii inavyopotoshwa na kili kinachosemwa tena kukuzwa na baadhi ya vyombo vya habari na kuamua kutolea ufafanuzi.
Anahaki ya kufanya hivyo na pia ni wajibu wake kuielezea jamii ukweli wa jambo fulani ambalo yeye anatuhumiwa kama muhusika.
yah naona kijana ameona anageuzwa punching bag kuhusiana na kifo cha jamaa kaona nae ajitetee