TAMKO la wanafunzi UDOM kuhusu DOWANS SAGA!!

VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
785
Wabunge wa chama pinzani walipomsusa mkwere na kutoka nje ya ukumbi wa bunge kule Dodoma, watu wa UDOM kwa haraka militoa tamko na kulaani kitendo hicho. Fine.
Now, tunaomba tamko lenu kuhusu DOWANS na katiba mpya. Ama havina umuhimu kwenu? Mbona mmekuwa mabubu.....ama ndio ku-justify kwamba hicho ni chuo cha Ka....oh no...chuo cha kisiasa cha CCM?:hug:
 
Now, tunaomba tamko lenu kuhusu DOWANS na katiba mpya. Ama havina umuhimu kwenu? Mbona mmekuwa mabubu.....ama ndi ku-justify kwamba hicho ni chuo cha kisiasa cha CCM?:hug:

Si walisema hile statement ilikuwa "imechakachuliwa" haikuwa ya wanafunzi wa UDOM bali kikundi fulani AU?
 
ni kweli mkuu kauli ilichakachuliwa na watoto walafi, waelimisheni Udom sio kuwaponda kama mfanyavyo
 
Wasivamie mambo. Kama sio kauli yao basi waendelee kusoma kwa bidii manake tutahitaji michango yao kujenga jamii shupavu
 
Wabunge wa chama pinzani walipomsusa mkwere na kutoka nje ya ukumbi wa bunge kule Dodoma, watu wa UDOM kwa haraka militoa tamko na kulaani kitendo hicho. Fine.
Now, tunaomba tamko lenu kuhusu DOWANS na katiba mpya. Ama havina umuhimu kwenu? Mbona mmekuwa mabubu.....ama ndio ku-justify kwamba hicho ni chuo cha Ka....oh no...chuo cha kisiasa cha CCM?:hug:

Ni haki yako kusema sababu nawe umeshachakachuliwa ila kuhusu yule mwanafunyi aliyetoa tamko kuhusu Wabunge wa CDM Amevuliwa uongozi na tayari UDOSO serikali ya wanafunzi alishakanusha izo habari. Kwa hiyo sio vizuri kujumuisha wanaUdom wote ila ni vibaraka wachache wanatumika kukichafua chuo na hawakubaliki kabisa hapo chuo.
 
UDOM hawapati elimu ya kutatulia matatizo, bali ya kukalili tuu!

Ninamashaka na uwezo wako wa kufikiria so ongeza bidii kwani elimu ya bongo yote ni sawa hakuna jipya kwani chuo cha Darfu UDSM mbona kama kinawasomi hawajatoa tamko lolote la unyonyaji wa taifa letu wamekaa tu kimya ama nao wanatumika?
 
kazi kuu ya wasomi ni kutatua matatizo yanayokumba taifa na kutoa tamko ila kwa Tanzania hakuna jipya wasomi wote wanaishia kulalamikia chumbani hayafiki panapotakiwa so sishangai vyuo vikuu Tanzania kulea vilaza hambao wanaibiwa mchana kweupe ata hawatoi neno ila ni kupeana majungu wenyewe kwe wenyewe leo utasikia UDOM chuo cha kata, kesho watatoa lingine so tuache mipasho mwanao hataridhi nini taifa litakapo baki gofu? TUFIKIRIE MAMBO YA MUHIMU YA KUJENGA TAIFA KAMA WASOMI WA VYUO VIKUU NA SIO KURUSHIANA MANENO.
 
Solution?
 
Pale UDOM kuna wenzetu wapiganaji kibao wanaopenda sana mabadiliko ya kweli nchini.

Hivyo, Wana-JF nawaomba sana tuwape nafasi watajirudi na wala tusiwakemee sana na kuwatakia mabaya. Ni wale wale watoto wa masikini wakulima waliotuzaa isipokua tu, kwa kuwa kila soko halikosi kuwa na mwendawazimu wake, UDOM walionekana kuharibiwa sana na watu wachache wanaofikiria tumboni.

Chonde tusiwakane wana-UDOM kwani wengi tu tayari ni wanachama wetu humu na wanaleta mawazo mazuri tu wa kusaidia taifa letu.
 
Hamna kitu pale siasa tu mwanzo mwisho. Elimu mupewayo haiwasaidii hata kidogo zaid mnatumika tuu. Bila chadema kutoka nje muziki wa katiba ungekuwa hivi?
 
Pale UDOM kuna wenzetu wapiganaji kibao wanaopenda sana mabadiliko ya kweli nchini.

Hivyo, Wana-JF nawaomba sana tuwape nafasi watajirudi na wala tusiwakemee sana na kuwatakia mabaya. Ni wale wale watoto wa masikini wakulima waliotuzaa isipokua tu, kwa kuwa kila soko halikosi kuwa na mwendawazimu wake, UDOM walionekana kuharibiwa sana na watu wachache wanaofikiria tumboni.

Chonde tusiwakane wana-UDOM kwani wengi tu tayari ni wanachama wetu humu na wanaleta mawazo mazuri tu wa kusaidia taifa letu.

tunaomba tamko lao kama walivyofanya wale wabunge walipomsusa Mkwere
 
Mmh inaonekana tukikosa threads tunafikiria tuandike nini kuhusu UDOM.
Ngoja nisubirie threads zijazo. Kwahili nimekosa la kusema.
 
alieweka hii ameuliza wanafunz wa UDSM,MZUMBE,TUMAINI wamesemaje,.mbona mnawaonea hivi UDOM,badala ya kushauriana tutawauaje Rostam na genge lake,tunabak UDOM,UDOM,UDOM,.Personaly nimechoka na mada za UDOM
 
Back
Top Bottom