Tamko la wanachama wa CUF mkoa wa DSM

tatizo lake bongo bunduki wanageuza shanga wanavaa kiunoni, hawa wazee wakipasuka vichwa miongoni mwao akili zitawakaa vizuri sasa matamko matamko tume ni ujinga tu!
 
Kila niki hustle kuvuka bodaaaa,wananigeukiaaaa,vigeugeu vigeugeu.wananigeuzia!
WANASIASA VIGEUGEUUUUUUUUUUUU!!!
 
Tamko limejaa makosa mengi sana na nadhani is time kwenda shule na kuachana mambo ya madrasa yet unataka uongozi wa Umma .

And yet you call yourself a great thinker with such a foolish comment,... Hivi mtu hata kama huna cha kucomment lazma masaburi yawashe mpaka ucomment.... Remember speech is silver, SILENCE IS GOLDEN.
 
Back
Top Bottom