Tamko la wakristo kuhusu machafuko na hali ya vitisho Zanzibar

Nimejaribu kusoma article yote hiyo lakin sikuona tamko lolote zaidi ya kusema tumechoshwa. Kama ni kuchoshwa ofcourse kitendo hicho kilichosha tangia 2001 lakin nini hasa malengo ya tamko
 
Nimejaribu kusoma article yote hiyo lakin sikuona tamko lolote zaidi ya kusema tumechoshwa. Kama ni kuchoshwa ofcourse kitendo hicho kilichosha tangia 2001 lakin nini hasa malengo ya tamko
hii uliiruka

Tunaonya kuwa hatuko tayari tena kuvumilia vitendo vya uvunjaji wa
amani na haki zetu na tabia za kufanywa tuishi kwa hofu.
 
Siamini km muislamu yeyote
anaweza japo kuitakia amaninchi yake km maneno mazuri ya faraja ya
viongozi hawa wa dini halisi ya mungu/......mimi siwalaumu waislau ila
namlaumu allah anayewapotosha kila kukicha kuwa unaweza kushinda
kijiweni na ukategemea majini kukulisha.....mwisho wa siku wanajikuta
wanadanganywa. Badala ya kumlaumu allah na mafundisho yake feki
wanalaumu eti kuna mfumo kristo wkt viongozi wote ngazi za juu bara na
visiwani ni waislamu.........kweli kuwa muislamu inahitaji usiwe na
akili timamu kwasababu inabidi uwe tayari kuwa kuua mtu unaenda peponi
moja kwa moja au unapata thawabu

Uliyosema yote ni kweli tupu. Lkn wajomba hawatakupiga ban kweli?!
 
HOW LONG NOT LONG WIL THE RADIANT STAR SHINE UPONE CHRISTIANS OF ZANZIBAR, nadhani serikali ya mapinduzi inashindwa tu kudeclare zanzibar kuwa ni nchi ya kiislaam coz haya yote yanafurahiwa na serikali hiyo na inawezekana yamechangiwa na serikali kwa sehem kubwa tu
 
Hoja legelege,

Kwani hamjamsikia Dr. shein, au ndo kutafuta umaarufu?

Kwani ni nani aliwakabidhi rasmi Zenj ambayo wakristu hawahitajiki? Kuna watu uwezo wao wa kufikiri hauzidi uerfu wa pua. Sababu ya kutopenda kuitafuta hekima, wakitoka hapo watarudi kule kule eti wanaonewa! Wale waliopindua kina John Okello, walikuwa dini gani vile? Asiyejua maana hawezi kuambiwa maana...na uzoefu unaonyesha ukimlaani mtu kwa hila, bila kujua utakuwa unambariki!
 
Hii iko sahihi zaidi.
Tumewasikia Tumewafikia....US conspiracy at work.....why didnt they blame US n UK embassies for helping HUAMSHO? what is hidden agenda behind...Why didn't they ask US n UK ambassadors when visited ZENJ with minister concerned... They claimed that kuna nchi za nje zinahusika kwanini hamkuzitaja ili serikali km haijui basi iwe ni ushaidi tosha.....kweli kikulacho kinguoni mwako i tell u guyz hii misaada na NGOs za US,UK, UE na embassy zao ni full of spyz kama TANZANIA viongozi wetu wakiendelea kukenua meno na hawa kisa misaada tutagawika ata 2015 hatufiki

Ubarikiwe mkuu!
Pamoja sana!
Mungu wetu anaita!
 
Hoja legelege,

Kwani hamjamsikia Dr. shein, au ndo kutafuta umaarufu?

Wewe dada kweli ni mdini, acha kutetea kila matapishi yanayotoka ubongoni kwako, hauoni hapa kama hii ina mantiki? Kwa pamoja naomba tuiombeeni Amani nchi yetu haya yanayotokea ni dalili ya serikali kukumbatia mafisadi na hapo imefikia pabaya wameingia kuzifisadi imani zetu. Iweje uhalifu huu unafanywa miaka mingi serikali isichukue hatua madhubuti? Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu na tutaipaza mpaka tutashinda

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama ungesoma vizuri na kuelewa tamko lilitolewa lini na Dr Shein alijibu lini ungeweza kuchangia vizuri zaidi. Au ulitaka kuchangia kwanza ndipo usome ili uelewe tamko la maaskofu lilitolewa lini? Kwa kukuelewesha Dr Shein aliongea na waandishi wa habari kuhusu kile alichokisema baada ya maaskofu kutoa tamko lao na si wao kutoa tamko baada ya Dr Shein kuongea na waandishi wa habari kuhusu vurugu za Zanzibar. Tujifunze kusoma na kuelewa kabla ya kujibu kitu chochote na siyo kujibu kwanza na kuelewa baadaye.

Ndugu msamehe bure, amekurupuka usingizini
 
Back
Top Bottom