Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

Wasomi gani hawa vichwa vyao vimejaa mbolea badalA ya AKILI

dEGREE ZENYEWE ZA MAJENGO SIJUI MTAAJIRIWA WAPI?
 
Kama hawa ndo wadogo zetu tunaosomesha huko na kuwaita wasomi iko kazi kupata mabadiliko:hungry:
 
msomi akiwa chadema akiwa ccm si msomi...........! Msomi aisifuye chadema aikosoaye si msomi.....! Kama mchangia mada mmoja alivyosema... Twasubiri wasomi wa chama cha migomo nao watoe tamko...!

njaa na akili aviwezi kuwa njia moja hata siku moja.
 
Eee eti nini??? Hawa ndio vijana watarajiwa! Wana maoni tofauti, wanaangalia nchi na mustakabali wake. Tuwaheshimu na tuwaenzi. Haifai kuwapuuza. Chadema hawawezi kupisha lolote ila lazima lipate kibali cha mkuu wa kaya. Kinyume na hapo itabaki siasa za maji taku. Kususa. Jamii inawashangaa sana. Hofu yangu chadema watabaki ni kakikundi ka watu wachache.
Ushauri wangu kwa wabunge wa chadema. "tupuuze propaganda za dr. Mfuko wa cement 5000/= na tutumie akili zetu. Chadema bila dr. Treni za kwenda kasi inawezekana!
 
hawa ni wana njaa sana, si juzi tu walikuwa wanalalamika maji hakuna udom? Hivi wanajiingiza kwenye siasa wanajujua kweli hawa? Basi taifa la kesho linabakwa kama ndio hivi. Mwanangu hagusi udom hata sku moja
 
Hivi entry requirements za UDOM ni sawa na vyuo vingine Tanzania au wao wako tofauti kama zile shule maalumu??
 
Waraka huu umesomwa muda si mrefu mbele ya vyombo vya habari zaidi ya 15 huko Dodoma.

TAMKO LA VIJANA WASOMI WA VYUO VIKUU WA MKOA WA DODOMA, KUHUSU KITENDO CHA BAADHI YA WABUNGE WA CHADEMA KUTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE.

NDUGU WAANDISHI WA HABARI,
NDUGU WANANCHI,.

Awali ya yote nawashukuru sana kuhitikia wito wetu wa gfafla kuja kujumika pamoja nasi leo hii, akhsanteni sana.

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko mkoa wa Dodoma kwa pamoja tunapenda kuweka wazi maoni yetu juu ya kitendo kilichofanywa na Wabunge wa CHADEMA jana 18.11.2010 wakati Mhe. Rais alihutubia Bunge.

Kwanza tumeshtushwa na kitendo hicho na kuweka wazi masikitiko yetu kwa kuwa kilichofanyika ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua waheshimiwa wabunge hao kuwawakilisha ndani ya chombo hicho kikubwa na chenye heshima kubwa ndani na nje ya nchi.

Bunge ni sehemu ya kuwakilisha wananchi kwa hoja chini ya kanuni zilizopo bila kujali itikadi ya chama chochote cha siasa na kazi kubwa ya mbunge ni kuishauri na kuisimamia Serikali kwa niaba ya wananchi waliomchagua au kuwachagua.

Kwa mantiki hiyo basi kama Wabunge hawamtambui Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya Bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimania Serikali sasa kama hawaitambui Serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo Bungeni.

Pili Baada ya uchaguzi wa Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, wabunge hao pia walinukuliwa na vyombo vya habari na ushaidi tunao wakiweka wazi kumkubali kiongozi huyo, na kauli mbiu yake ya ‘Bunge moja’ je, kitendo walichofanya inaashiria utekelezaji wa kauli mbiu ya Bunge moja?

Tatu msimamo wa kutomtambua Rais ni wa CHADEMA kama chama na waliotoka nje ya Bunge ni wabunge sasa ni vema wabune hao watambue na kutafakari upya kama kweli wanawawakilisha Bungeni wananchi au cha na kutekeleza misimamo yao bila kujali maslahi ya waliowachagua na kumpa kura nyingi Rais Kikwete?.

Nne Kwa badhi ya wabunge wa CHADEMA kutomtambua Rais wakati akilihutubia bunge ni wazi kuwa hata sheria zitakzopitishwa na Bunge hawatahusika kwa kuwa mwenye mamlaka ya mwisho kukubali sheria iliyotungwa na Bunge itumike ni Rais ambaye wanadai hawamtutambui.

Ni dhahiri kuwa watashindwa kufanya kazi yao ya uwakilishi na usimamizi wa Serikali Bungeni .

Je wanawaonesha watanzania dalili gani kama si kutaka kuleta machafuko nchini na mgawanyiko ndani ya Bunge na kwa Jamii kwa ujumla?.

Wananchi waliowachagua wabunge hao wanapaswa kutafakari upya wawakilishi waliowachagua kama wana uelewa wa kutosha kuhusu bunge, sisi vijana wa vyuo vikuu tunajua na tunatambua kuwa Rais ni Sehemu ya Bunge na Bunge haliwezi kukamilika bila Rais na hii ndio maana kila sheria inayopitishwa na Bunge ni lazima yeye Rais aweke sahihi yake.

Katika mazungumo yake na waandishi wa habari wiki hii Mweneykiti wa CHADEMA MHE. Freeman Mbowe, alinukuliwa na vyombo vya habari akisema wabunge wake na madiwani wanaweza kuendelea kuwakilisha wananchi licha ya kutomtambua Rais.

Sisi tunasema hili si sahihi bali ni upotoshaji mkubwa, kamwe mtoto hawezi kudai kuwa hamtabui Baba yake kisha anaendelea kumwita Baba na kutumia kila kitu kinachotolewa na Baba huyo huyo. Huo ni utovu wa nidhamu au kukosa maadili.

Sisi vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma tunawaomba Watanzania wote wenye nia njema na Taifa letu kuwapuuza wabunge wa CHADEMA na kutambua kuwa lengo lao ni kutaka kutuhamisha kutoka kwenye ajenda ya msingi ya Maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa kama tulivyoshuhudia katika nchi jirani.

Kamwe tusikubali kudanganywa na watu wachache.

Mwisho tungependa kuwaomba Wabunge wa CHADEMA wawaombe radhi watanzania kwa kuvuruga tashwira safi ya Bunge letu lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa vinginevyo wanawadharau watanzania waliowachagua wakidhani kwamba niwaadilifu wa Taifa na si cha chama chao.

Tutambue kuwa kazi kubwa ya CHADEMA na Wabunge wake kwa sasa ni kuwachanganya watanzania ili badala ya kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa wabaki na malumbano ya hapa na pale kwa manufaa yao binafsi.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Bunge letu na kutuepusha na ubaguzi kama huu uliofanywa na baadhi ya Wabunge wa CHADEMA.

Aksanteni sana.

IMESOMWA NA THOBIAS MWESIGA RICHARD
KWA NIABA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MKOA WA DODOMA

Ndg Richard Mwesiga, kwa niaba ya wanafunzi wenzako, sisi wazazi wenu tunasema huyo jamaa ambaye amejipa Uraisi wa TZ ameiba kura kuhalalisha Uraisi wake. Please guys use your heads. You must have long-range goals to keep you from being frustrated by short-range failures. Am doubt this post was prepared by your vigogo. Hii forum ni ya watu makini wanachambua pumba na uchafu. Huo ni msimamo wa CHADEMA wala usiulize, kama unapenda maendeleo ya nchi yako bila kufilisiwa na mafisadi tafadhari waunge mkono, usiyumbishwe na visoda na chips.

Suming up,it is clear the future holds great opportunities. It holds pitfalls. The trick will be to avoid the pitfalls, seize the opportunities and get back home by six o'clock. Woody Allen.
 
Eee eti nini??? Hawa ndio vijana watarajiwa! Wana maoni tofauti, wanaangalia nchi na mustakabali wake. Tuwaheshimu na tuwaenzi. Haifai kuwapuuza. Chadema hawawezi kupisha lolote ila lazima lipate kibali cha mkuu wa kaya. Kinyume na hapo itabaki siasa za maji taku. Kususa. Jamii inawashangaa sana. Hofu yangu chadema watabaki ni kakikundi ka watu wachache.
Ushauri wangu kwa wabunge wa chadema. "tupuuze propaganda za dr. Mfuko wa cement 5000/= na tutumie akili zetu. Chadema bila dr. Treni za kwenda kasi inawezekana!

Bila shaka wewe ni graduate ama unasoma UDOM!
 
Jamani wasameheni bule hawa wtoto hawajakomaa , wasomi dodoma tangu lini? Dodoma kunaumaarufu wa wanasiasa, sasa wao kuwa dodoma wamesahau kilichowapeleka wanakurupukia siasa. Uelewa wenyewe kiduchu! Kama wasomi wenyewe wa dom ndio hao chuo kifungwe hawana critical thinking, wanaharibu pesa za walipa kodi
 
Waraka huu umesomwa muda si mrefu mbele ya vyombo vya habari zaidi ya 15 huko Dodoma.

TAMKO LA VIJANA WASOMI WA VYUO VIKUU WA MKOA WA DODOMA, KUHUSU KITENDO CHA BAADHI YA WABUNGE WA CHADEMA KUTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE.

NDUGU WAANDISHI WA HABARI,
NDUGU WANANCHI,.

Awali ya yote nawashukuru sana kuhitikia wito wetu wa gfafla kuja kujumika pamoja nasi leo hii, akhsanteni sana.

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko mkoa wa Dodoma kwa pamoja tunapenda kuweka wazi maoni yetu juu ya kitendo kilichofanywa na Wabunge wa CHADEMA jana 18.11.2010 wakati Mhe. Rais alihutubia Bunge.

Kwanza tumeshtushwa na kitendo hicho na kuweka wazi masikitiko yetu kwa kuwa kilichofanyika ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua waheshimiwa wabunge hao kuwawakilisha ndani ya chombo hicho kikubwa na chenye heshima kubwa ndani na nje ya nchi.

Bunge ni sehemu ya kuwakilisha wananchi kwa hoja chini ya kanuni zilizopo bila kujali itikadi ya chama chochote cha siasa na kazi kubwa ya mbunge ni kuishauri na kuisimamia Serikali kwa niaba ya wananchi waliomchagua au kuwachagua.

Kwa mantiki hiyo basi kama Wabunge hawamtambui Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya Bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimania Serikali sasa kama hawaitambui Serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo Bungeni.

Pili Baada ya uchaguzi wa Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, wabunge hao pia walinukuliwa na vyombo vya habari na ushaidi tunao wakiweka wazi kumkubali kiongozi huyo, na kauli mbiu yake ya ‘Bunge moja’ je, kitendo walichofanya inaashiria utekelezaji wa kauli mbiu ya Bunge moja?

Tatu msimamo wa kutomtambua Rais ni wa CHADEMA kama chama na waliotoka nje ya Bunge ni wabunge sasa ni vema wabune hao watambue na kutafakari upya kama kweli wanawawakilisha Bungeni wananchi au cha na kutekeleza misimamo yao bila kujali maslahi ya waliowachagua na kumpa kura nyingi Rais Kikwete?.

Nne Kwa badhi ya wabunge wa CHADEMA kutomtambua Rais wakati akilihutubia bunge ni wazi kuwa hata sheria zitakzopitishwa na Bunge hawatahusika kwa kuwa mwenye mamlaka ya mwisho kukubali sheria iliyotungwa na Bunge itumike ni Rais ambaye wanadai hawamtutambui.

Ni dhahiri kuwa watashindwa kufanya kazi yao ya uwakilishi na usimamizi wa Serikali Bungeni .

Je wanawaonesha watanzania dalili gani kama si kutaka kuleta machafuko nchini na mgawanyiko ndani ya Bunge na kwa Jamii kwa ujumla?.

Wananchi waliowachagua wabunge hao wanapaswa kutafakari upya wawakilishi waliowachagua kama wana uelewa wa kutosha kuhusu bunge, sisi vijana wa vyuo vikuu tunajua na tunatambua kuwa Rais ni Sehemu ya Bunge na Bunge haliwezi kukamilika bila Rais na hii ndio maana kila sheria inayopitishwa na Bunge ni lazima yeye Rais aweke sahihi yake.

Katika mazungumo yake na waandishi wa habari wiki hii Mweneykiti wa CHADEMA MHE. Freeman Mbowe, alinukuliwa na vyombo vya habari akisema wabunge wake na madiwani wanaweza kuendelea kuwakilisha wananchi licha ya kutomtambua Rais.

Sisi tunasema hili si sahihi bali ni upotoshaji mkubwa, kamwe mtoto hawezi kudai kuwa hamtabui Baba yake kisha anaendelea kumwita Baba na kutumia kila kitu kinachotolewa na Baba huyo huyo. Huo ni utovu wa nidhamu au kukosa maadili.

Sisi vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma tunawaomba Watanzania wote wenye nia njema na Taifa letu kuwapuuza wabunge wa CHADEMA na kutambua kuwa lengo lao ni kutaka kutuhamisha kutoka kwenye ajenda ya msingi ya Maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa kama tulivyoshuhudia katika nchi jirani.

Kamwe tusikubali kudanganywa na watu wachache.

Mwisho tungependa kuwaomba Wabunge wa CHADEMA wawaombe radhi watanzania kwa kuvuruga tashwira safi ya Bunge letu lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa vinginevyo wanawadharau watanzania waliowachagua wakidhani kwamba niwaadilifu wa Taifa na si cha chama chao.

Tutambue kuwa kazi kubwa ya CHADEMA na Wabunge wake kwa sasa ni kuwachanganya watanzania ili badala ya kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa wabaki na malumbano ya hapa na pale kwa manufaa yao binafsi.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Bunge letu na kutuepusha na ubaguzi kama huu uliofanywa na baadhi ya Wabunge wa CHADEMA.

Aksanteni sana.

IMESOMWA NA THOBIAS MWESIGA RICHARD

KWA NIABA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MKOA WA DODOMA

we need guns to shoot some minds in this country, hawa ndiyo wasomi au walamba miguu ya jk na ridhwan?
 
Uongozi wa UDOM uwashauri vijana wao na statement wanazotoa otherwise wanaathiri credibility ya chuo chao
 
waraka huu umesomwa muda si mrefu mbele ya vyombo vya habari zaidi ya 15 huko dodoma.

tamko la vijana wasomi wa vyuo vikuu wa mkoa wa dodoma, kuhusu kitendo cha baadhi ya wabunge wa chadema kutoka nje ya ukumbi wa bunge.

ndugu waandishi wa habari,
ndugu wananchi,.

awali ya yote nawashukuru sana kuhitikia wito wetu wa gfafla kuja kujumika pamoja nasi leo hii, akhsanteni sana.

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko mkoa wa dodoma kwa pamoja tunapenda kuweka wazi maoni yetu juu ya kitendo kilichofanywa na wabunge wa chadema jana 18.11.2010 wakati mhe. Rais alihutubia bunge.

kwanza tumeshtushwa na kitendo hicho na kuweka wazi masikitiko yetu kwa kuwa kilichofanyika ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua waheshimiwa wabunge hao kuwawakilisha ndani ya chombo hicho kikubwa na chenye heshima kubwa ndani na nje ya nchi.

bunge ni sehemu ya kuwakilisha wananchi kwa hoja chini ya kanuni zilizopo bila kujali itikadi ya chama chochote cha siasa na kazi kubwa ya mbunge ni kuishauri na kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi waliomchagua au kuwachagua.

kwa mantiki hiyo basi kama wabunge hawamtambui rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimania serikali sasa kama hawaitambui serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo bungeni.

pili baada ya uchaguzi wa spika wa bunge mhe. Anne makinda, wabunge hao pia walinukuliwa na vyombo vya habari na ushaidi tunao wakiweka wazi kumkubali kiongozi huyo, na kauli mbiu yake ya ‘bunge moja' je, kitendo walichofanya inaashiria utekelezaji wa kauli mbiu ya bunge moja?

tatu msimamo wa kutomtambua rais ni wa chadema kama chama na waliotoka nje ya bunge ni wabunge sasa ni vema wabune hao watambue na kutafakari upya kama kweli wanawawakilisha bungeni wananchi au cha na kutekeleza misimamo yao bila kujali maslahi ya waliowachagua na kumpa kura nyingi rais kikwete?.

nne kwa badhi ya wabunge wa chadema kutomtambua rais wakati akilihutubia bunge ni wazi kuwa hata sheria zitakzopitishwa na bunge hawatahusika kwa kuwa mwenye mamlaka ya mwisho kukubali sheria iliyotungwa na bunge itumike ni rais ambaye wanadai hawamtutambui.

ni dhahiri kuwa watashindwa kufanya kazi yao ya uwakilishi na usimamizi wa serikali bungeni .

je wanawaonesha watanzania dalili gani kama si kutaka kuleta machafuko nchini na mgawanyiko ndani ya bunge na kwa jamii kwa ujumla?.

wananchi waliowachagua wabunge hao wanapaswa kutafakari upya wawakilishi waliowachagua kama wana uelewa wa kutosha kuhusu bunge, sisi vijana wa vyuo vikuu tunajua na tunatambua kuwa rais ni sehemu ya bunge na bunge haliwezi kukamilika bila rais na hii ndio maana kila sheria inayopitishwa na bunge ni lazima yeye rais aweke sahihi yake.

katika mazungumo yake na waandishi wa habari wiki hii mweneykiti wa chadema mhe. Freeman mbowe, alinukuliwa na vyombo vya habari akisema wabunge wake na madiwani wanaweza kuendelea kuwakilisha wananchi licha ya kutomtambua rais.

sisi tunasema hili si sahihi bali ni upotoshaji mkubwa, kamwe mtoto hawezi kudai kuwa hamtabui baba yake kisha anaendelea kumwita baba na kutumia kila kitu kinachotolewa na baba huyo huyo. Huo ni utovu wa nidhamu au kukosa maadili.

sisi vijana wa vyuo vikuu mkoa wa dodoma tunawaomba watanzania wote wenye nia njema na taifa letu kuwapuuza wabunge wa chadema na kutambua kuwa lengo lao ni kutaka kutuhamisha kutoka kwenye ajenda ya msingi ya maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa kama tulivyoshuhudia katika nchi jirani.

kamwe tusikubali kudanganywa na watu wachache.

mwisho tungependa kuwaomba wabunge wa chadema wawaombe radhi watanzania kwa kuvuruga tashwira safi ya bunge letu lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa vinginevyo wanawadharau watanzania waliowachagua wakidhani kwamba niwaadilifu wa taifa na si cha chama chao.

tutambue kuwa kazi kubwa ya chadema na wabunge wake kwa sasa ni kuwachanganya watanzania ili badala ya kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa wabaki na malumbano ya hapa na pale kwa manufaa yao binafsi.

mungu ibariki tanzania, mungu ibariki bunge letu na kutuepusha na ubaguzi kama huu uliofanywa na baadhi ya wabunge wa chadema.

aksanteni sana.

imesomwa na thobias mwesiga richard
kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa dodoma

acha pumba wewe thobias, wewe ni kiongozi wa wanafunzi wote wa vyuo vikuu dodoma au ni kada wa ccm? Lini hawa wanafunzi wamekaa vikao na kukuambia tua hili tamko?

Fikiria kwanza, akili kichwani. Sisi tulikuwa mwanafunzi kama wewe na tuna madegree mengi sasa. Hivyo tunajua mengi. Soma kwanza acha kelele za panya juu ya dari
 
Bila hata ya kuusoma waraka wao mpaka mwisho, naomba niwaambie hao wanao jiona ni wanaosoma mambo makuu kwa kuwa wako chuo kikuu, kwamba wataishia kuitwa wasomi bila kuwa wame elimika. Kama ni usomi hata mimi ni msomi wa digrii ya pili, na ninadiriki kusema nime elimika, nawaomba waache ujinga wao. Hawajui wanacho kisema hivyo nawasamehe.
 
Vijana wametumia haki yao ya kutoa maoni yao lakini kabla ya yote ilipaswa walizungumzie swala la msingi la kunyimwa haki yao ya kushiriki katika zoezi la kupiga kura kwa baadhi yao ambao vyuo vilikuwa vimefungwa wakati wa uchaguzi nao wakiwa mbali na sehemu walizojiandikishia kupiga kura.Ni ajabu wameruka hoja hii ya msingi kabisa na kurukia mambo mengine.Bila shaka wabunge waliotoka nje walikuwa wakionyesha hisia zao kwa rais mteule likiwepo pia kati ya mengineyo wanafgnzi kunyimwa haki hii ya kushiriki kupiga kura ,tume ya uchaguzi isiyo huru na takwimu za uchaguzi zisizokuwa sahihi ukilinganisha na hali iliyotokea kwenye karatasi za kupigia kura.
 
Eee eti nini??? Hawa ndio vijana watarajiwa! Wana maoni tofauti, wanaangalia nchi na mustakabali wake. Tuwaheshimu na tuwaenzi. Haifai kuwapuuza. Chadema hawawezi kupisha lolote ila lazima lipate kibali cha mkuu wa kaya. Kinyume na hapo itabaki siasa za maji taku. Kususa. Jamii inawashangaa sana. Hofu yangu chadema watabaki ni kakikundi ka watu wachache.
Ushauri wangu kwa wabunge wa chadema. "tupuuze propaganda za dr. Mfuko wa cement 5000/= na tutumie akili zetu. Chadema bila dr. Treni za kwenda kasi inawezekana!

Huna hoja kwaheri wale wale wa yes sir, wewe pia ni thithiem nambari wani?????
 
Hivi entry requirements za UDOM ni sawa na vyuo vingine Tanzania au wao wako tofauti kama zile shule maalumu??

Hivi Unategemea Hawa wanaojiita WASOMI wa UDOM.. Kwani si ndio hawa hawa waliojipendekeza kwa KIKWETE kwa KUMCHANGIA zaidi ya Shilingi Milioni MOJA ili akachukue Fomu za Kugombea URAIS???? Si ndio hawa hawa wanaopewa mikopo ya 100% kama Fadhila za Kumchangia KIKWETE? Yaani hawa watoto wasiwababaishe wana CHADEMA. Wanajipendekeza tu kwa Mkuu ili Boom lao liendelee kuflow katika Account. After all CCM ina mizizi yake Dodoma so hatukutarajia waisifu CHADEMA......
 
Mwesiga huwa hamalizi tu elimu ya chuo, mbona mara ya kwanza alikuwa anasoma Tumaini University au ndio walewale usalama wa JK.
Lakini point zake zinaendana na uchanga wa UDOM. Uwezo wao wa kufikiri watoto wa UDOM ni mdogo sana.:embarrassed:
 
Back
Top Bottom